Home » Siasa » Sikiliza hoja za Mbunge HALIMA MDEE Bungeni, ishu ni UDA na CHENGE kuhusishwa na MIKATABA MIBOVU. (Sauti) Sikiliza hoja za Mbunge HALIMA MDEE Bungeni, ishu ni UDA na CHENGE kuhusishwa na MIKATABA MIBOVU. (Sauti)
Kikao cha Bunge kilianza siku ya Jumanne
January 27, Kamati mbalimbali zilikuwa zikiwasilisha taarifa za Ripoti
tangu kuanza kwa kikao hicho, Kamati ya PAC iliwasilisha taarifa
iliyotokana na Ripoti ya CAG ambayo ilibaini ubadhirifu kwenye taasisi
mbalimbali, Wabunge wakaanza kuchangia kuhusu taarifa ya ripoti hiyo.
“Tulijadili
ESCROW suala lilikuwa MAo.HAKAMANI, tulijadili LIPUMBA suala lilikuwa
MAHAKAMANI leo tunakuja kujadili UDA ambalo lina mustakabali wa mkubwa
wa Mkoa wa Dar es Salaam mnasema suala liko MAHAKAMANI. Hili suala
linazuiwa kwa sababu kuna wakubwa nyuma…”— Halima Mdee.
Sikiliza hoja za Mbunge HALIMA MDEE Bungeni, ishu ni UDA na CHENGE kuhusishwa na MIKATABA MIBOVU. (Sauti)
Kikao cha Bunge kilianza siku ya Jumanne
January 27, Kamati mbalimbali zilikuwa zikiwasilisha taarifa za Ripoti
tangu kuanza kwa kikao hicho, Kamati ya PAC iliwasilisha taarifa
iliyotokana na Ripoti ya CAG ambayo ilibaini ubadhirifu kwenye taasisi
mbalimbali, Wabunge wakaanza kuchangia kuhusu taarifa ya ripoti hiyo.
“Tulijadili
ESCROW suala lilikuwa MAo.HAKAMANI, tulijadili LIPUMBA suala lilikuwa
MAHAKAMANI leo tunakuja kujadili UDA ambalo lina mustakabali wa mkubwa
wa Mkoa wa Dar es Salaam mnasema suala liko MAHAKAMANI. Hili suala
linazuiwa kwa sababu kuna wakubwa nyuma…”— Halima Mdee.
Mwenyekiti wa Bunge Mussa Zungu akamkatisha Mbunge huyo;“Mheshimiwa
Halima we still respect you.. najua concern yako.. mimi sina tofauti na
Jaji hapa, nikitoa ruling una sehemu ya kwenda kulalamika. Hili ni
BUNGE la heshima na katika watu wanaheshimika wewe ni mmojawapo. Hoja za
MAHAKAMA ziache!”
Halima Mdee aliendelea kuzungumzia ishu hiyo tena, Mwenyekiti huyo akamkatisha kwa mara nyingine; “Halima
kama utakosa priviledge yako ntazuia… Hata mimi jana nimezuiwa,
nimeanza ikabidi nisalimie watu nikakaa chini kwa kuheshimu mamlaka.
Itabidi nifanye action ambayo sipendi kufanya, nna adi ya manjano na
kadi nyekundu. Za manjano zishachoka sasa zinaanza kugeuka rangi.”
Baada ya hapo Halima Mdee akaendelea kuchangia; “ Ukiangalia nani ambaye alohusika kwenye mkataba wa 2007/08, Chenge alikuwa Waziri wa Miundombinu alikuwepo. Chenge na mikataba ya nchi hii ya madini mibovu yupo.. na IPTL
yupo… hatuchukui hatua mambo yanaenda tu. Mtafanya wananchi wataanza
kuchapa watu barabarani, wakianza kuchapwa hawa nd’o discipline itakuja…”
Baada ya hapo Andrew Chenge naye alipata nafasi kujibu hoja ya Mdee; “Nimemvumilia
sana mheshimiwa anayechangia hoja, kama ana ushahidi wa hayo
anayoyasema kanuni zetu zinatutaka ayawasilishe tu mbele hapo”
“Kuna utaratibu wa kikanuni vielelezo nikitakiwa kuleta nitavileta haina tatizo”—Halima Mdee.
Kusikiliza sauti yote niliyokurekodia Bonyeza PLAY hapa.