Kuhusu ile ishu ya Wanafunzi kupigwa mabomu ya machozi Kenya, iko hapa kauli ya Rais Kenyatta

http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/uhunye.jpg
Waziri wa usalama nchini Kenya, Joseph Nkaissery amewaomba radhi  wanafunzi wa shule ya msingi ya Lang’ata baada ya  kupigwa mabomu ya machozi jana walipoandamana kupinga kunyang’anywa kipande cha ardhi ambacho kilikuwa uwanja wao wa kuchezea.
Jana hata hawataki tusherehekee, tukicheza wanatupiga na rungu wanatuletea madogi
Powered by Blogger.