Kwenye 255 ya Jan 28, iko story ya muigizaji Wema Sepetu, Mwasiti na Idris Sultan.

Wemaaaaa33333
 Kwenye 255 ya Jan 28, iko story ya muigizaji Wema Sepetu, Mwasiti na Idris Sultan
Kwenye 255 ya leo story ya kwanza kusikika ni muendelezo wa ile story iliyosikia jana kwenye 255, iliyokuwa inamuhusu muigizaji Wema Sepetu ambapo Meneja wake  Martin Kadinda alitoa tamko baada ya Gazeti moja kuandika kuwa Wema anamdai shilingi milioni 10 aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na kulitaka Gazeti hilo limuombe radhi.
Gazeti hilo kupitia tovuti yao limemuomba radhi kwa Wema Sepetu na familia yake kwa kuchapisha habari hiyo na kusema liliandika kimakosa.
Home » Ent. » Kwenye 255 ya Jan 28, iko story ya muigizaji Wema Sepetu, Mwasiti na Idris Sultan.

Kwenye 255 ya Jan 28, iko story ya muigizaji Wema Sepetu, Mwasiti na Idris Sultan.

Wemaaaaa33333Kwenye 255 ya leo story ya kwanza kusikika ni muendelezo wa ile story iliyosikia jana kwenye 255, iliyokuwa inamuhusu muigizaji Wema Sepetu ambapo Meneja wake  Martin Kadinda alitoa tamko baada ya Gazeti moja kuandika kuwa Wema anamdai shilingi milioni 10 aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na kulitaka Gazeti hilo limuombe radhi.
Gazeti hilo kupitia tovuti yao limemuomba radhi kwa Wema Sepetu na familia yake kwa kuchapisha habari hiyo na kusema liliandika kimakosa.
MwasitiJumamosi hii nyumba ya vipaji  Tanzania House of Talent (THT) itakuwa inatimiza miaka 10 tangu ianzishwe ambapo burudani mbalimbali yatafanyika Escape One siku hiyo.
Mwasiti ni mmoja ya wasanii ambao walikuwepo wakati nyumba hiyo inaanzishwa, amesema walikuwa na maisha magumu kwa kuwa watu wengi walikuwa wanachukulia kama sehemu ya kupotezea muda na sehemu ya watoto yatima, wakati huohuo ameahidi mashabiki wategemee Live Show ya nguvu kutoka kwa wasanii wote waliopitia THT.
idrisMshindi wa BBA 2014 Idris Sultan ameanzisha utaratibu wa simu yake kuwa na mtu maalum wa kumuunganisha nae tofauti na awali ambapo alikuwa akipokea mwenyewe, utaratibu huu ni kwa sababu za kiusalama na pia inamsaidia kuchuja vitu vingi.
Powered by Blogger.