Huyu ndie msanii wa Hiphop aliyetangaza utaratibu wa kuachia Audio na Video kwa mpigo 2015…

.
Home » Ent. » Huyu ndie msanii wa Hiphop aliyetangaza utaratibu wa kuachia Audio na Video kwa mpigo 2015…

Huyu ndie msanii wa Hiphop aliyetangaza utaratibu wa kuachia Audio na Video kwa mpigo 2015…

.
.
Inaonekana 2015 ni mwaka ambao baadhi ya wasanii wanakuwa na mipango mizuri juu ya kazi zao, sasa good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya  msanii wa Hiphop, Godzilla kuahidi kutoa audio na video kwa wakati mmoja.
Akiongea na millardayo.com alisema; “Mipango niliyoipanga mwaka 2015 ni kwamba kila baada ya miezi mitatu nitakuwa natoa wimbo lakini utakuwa hautoki hivi hivi kwani nitakuwa natoa audio na video kwa pamoja,  zipo nyimbo nyingi nimesharekodi kwa Pancho Latino na Marco Chali pia kuna wimbo nimemshirikisha Marco Chali  audio na video, hii ni idea yangu kwasababu unakuta msanii ukitoa audio inakaa kwa muda mrefu kwa hiyo nimeona nikitoa audio na video shabiki ana enjoy zaidi“– Godzilla.
Powered by Blogger.