Madoido Katika Fasihi
Madoido ni vionjo mbalimbali vinavyopatikana katika kazi za fasihi simulizi. Kwa mfano kuipamba sauti, upigaji wa ala za musiki kama vile ngoma, gitaa, matarumbeta n.k na uchezeshaji wa viungo vyote vya mwili. Hivyo katika fasihi andishi si rahisi kusikia na hata kuona kutokana na uhifadhi wake.
?UMUHIMU WA KILA KIPENGELE CHA MADOIDO KAMA IFUATAVYO;
?Madoido ya sauti umuhimu wake
Fanani huvuta hisia kwa hadhira wakati anapowasilisha kazi yake.
Kuipamba lugha iwe na mvuto.
?Madoido ya upigaji wa ala za muziki umuhimu wake
-Inaburudisha hadhira
-Uvuta hisia ya hadhira kwa mfano milindimo ya vinanda, zumali n.k ?Madoido ya uchezeshaji wa viungo vyote vya mwili umuhimu wake
-Inateka umakini wa hadhira na kuipenda kazi ya fasihi simulizi
- Inaburudisha