MICHAKATO YA KIMOFOLOJIA INAVYOTUMIKA KUUNDA MANENO KATIKA LUGHA YA KISWAHILI
Mu
+ china= mchina
Mu+
kulima = mkulima.
Pia
irabu ‘u’ inapokalibiana na irabu inayofanana nayo hubaki kama ilivyo.Mfano
Muumba- muumba
Muumini-
muumuni
Muuguzi-
muuguzi
Mungwana-
muungwana
Muunguja-
muunguja.
Mchakato
wa uyeyushaji, kanuni hii hutokea pale irabu inapoandamana na nazali “m” na
pale inapokuwa yenyewe. Irabu ‘u’ inapofuatiwa na mofimu inayoanza na irabu
inayofanana nayo hubakia jinsi ilivyo lakini inapofuatiwa na irabu isiyofanana
nayo wakati mwingine huweza kubakia kama ilivyo au huweza kugeuka na kuwa ‘w’
pia irabu ‘I’ huathiriwa na kanuni hii mfano
Mi+
ake- myaka
Vi+
ake- vyake
Vi+
ao- vyao
Vi+
akula vyakula
Pia
katika kanuni hii neon likitamkwa kwa haraka uyeyushaji huweza kutokea. Mfano;
Mu+e+nde+shaji mwendeshaji
Mu+i+mba+ji mwimbaji
Mu+ema mwema
Mu+eupe mweupe
Katika
kanuni hii iwapo kuna namna mbili za utamkaji inaashiria kuwa katika mazingira
hayo kanuni ya uyeyushaji ni ya hiyari.
Machakato
wa muungano wa sauti, kanuni hii hutokea pale ambapo irabu ya mofimu moja
inapokabiliana na irabu ya mofimu nyingine irabu hizo mbili huungana na kuzoa
irabuy moja tu mfano
Wa+
ingi- wengi
Me
+ingi- mengi
Hapa
ina maana kuwa irabu ‘a’ na irabu za mbele yaani ‘i’ na ‘e’ zinapokutana katika
mpaka wa mofimu huungana na kuzaa irabu moja tu ‘e; lakini kuna vigaili amabapo
hutokea inapokuwa mofimu inayoiandama ina minyambuliko. mfano
Wa+
igi+za+ ji - waigizaji
Wa+
oko+ a+ ji- waokoaji
Mchakato
wa nazali kuathiri konsonanti andamizi, katika kanuni hii baadhi ya sauti
ambazo huathiriwa na nazari inapokuwa sauti hizo zinazoindamia nazari hizo.
mfano.
n+
limi- {ndimi}
n+
refu- {ndefu}
Katika
mifano hii inaonekana kwamba sauti/ l/na/r/ zinapotanguliwa na nazari “n”
hugeuka na kuwa sauti/d/
Mchakato
wa konsonanti kuathiri nazali,katika lugha za kibantu umbo la nazali huathiriwa
na konsonanti inayoind amia. kwa mfano
Nguzo-
[inguzo]
Ngao-[
ingao ]
Katika
mifano hii konsonanti inayofuatia nazali ni “g”. konsonsanti hii hutamkiwa
nyuma kwenye kaakaa laini, kwa maelezo haya….. haitokei hivihivi
bali ni kutokana na kanuni hii maalumu ya lugha nyingi za kibantu ambazo ni
kanuni ya konsonanti kuathiri nazali.
Mchakato
wa ukaakaishaji wa fonimu, hutopkea wakati ambapo fonimu
zisizo za kaakaa gumu zionapobadilika na kuwa fonimu za kaakaa gumu. Katika
lugha ya kiswahili>>>>>>INAENDELEA>>>>>>