MICHAKATO YA KIMOFOLOJIA INAVYOTUMIKA KUUNDA MANENO KATIKA LUGHA YA KISWAHILI
baada
ya uchunguzi, kuwa labda hizi ni fonimu tofauti ambazo labda zina fanana kidogo
kwa sababu zote zina unazali.
Kwa
ujumla, michakato inayotumika katika lugha ya kiswahili imesaidia sana katika
uundaji wa maneno ili kufanikisha baadhi ya maneno kutamkwa baada ya kutoka
umbo la ndani na kwenda umbo la nje ambalo hutokana na lugha mbalimbali za
kibantu kutopkana na athari zitokanazo na utamkaji ndizo zimesababisha kutokea
kwa kanuni mbalimbali ili kuweza kusababisha matashi na maumbo ya herufi
mbalimbali hutamkiwa sehemu yake inayohusika.
MAREJEO
Tuki, (2004), kamusi ya
Kiswahili sanifu. Oxford University press: Nairobi.
Mgulu,
R..S (1999), Mtaala wa Isimu: Fonetiki, Fonolojia na Mofolojia ya Kiswahili.
Longhorn Publishers Ltd: Nairobi.
Massamba,
D.P.B (2001), Maendeleo Katika Nadharia ya Fonolojia. Taasi ya taaluma za Kiswahili
(Tuki): Dar es salaam.
Habwe,
J na peter, K (2004), Misingi ya Sarufi ya Kiswahili. Phoenix Publishers:
Nairobi.
Massamba
na wenzake, (2003), Sarufi Mauumbo ya Kiswahili Sanifu
(SAMAKISA) Sekondari na vyuo. Taasisi ya uchungazi wa Kiswahili: chuo
kikuu cha Dar- es – salaam.
Rubanza.
Y. I (1999), Mofolojia ya Kiswahili, Chuo Kikuu Huria cha
Tanzania: Dar es Salaam.