MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MUKTADHA MBALIMBALI
MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MUKTADHA MBALIMBALI
Lugha ni sauti za nasibu zenye kubeba maana zinazokubalika katika jamii Fulani ili zitumike katika mawasiliano.
Utumizi wa Lugha
Ni namina ambayo wazungumzaji wa lugha Fulani wanazungumza kwa kuzingatia mila, destuli na tamaduni za jamii husika.
Dhima za Utumizi wa Lugha
Msingi wa Matumizi ya Lugha
Mambo yanayoathiri matumizi ya lugha
Rejesta ni mtindo wa lugha ambayo maneno yake na mtindo wake wa kuongea huwa na dhumuni la kukidhi haja ya mawasiliano katika uwanja Fulani au mazingira maalumu.
Rejesta huonyesha anayezungumza yupo katika mazingira gani na hadhi yake ni ipi.
AINA ZA REJESTA
Aina za rejesta ziko nyingi kutokana na kukidhi haja ya mawasiliano katika uwanja Fulani wa mazungumzo;
[list=lower-roman]
[*]Rejesta za hospitalini
Aina hii ya rejesta hutumika hospitalini na mgonjwa akizungumza na daktari au mhudumu tofauti wa afya. Kwa mfano; “Ingia kwa daktari”, “chumba cha sindano”, “mgonjwa vipi hali yako”.
[list=lower-roman]
[*]Rejesta za hotelini
Hii hujumuisha maneno ambayo mara nyingi hutumika hotelini au kwa watu wengine ambao wanauza chakula, maneno haya yakitumika sehemu nyingine huweza kuleta tofauti katika maana zake, kwa mfano; “mimi nyama” nionyeshe menyu ya chakula”, “mimi chipsi kuku”
[list=lower-roman]
[*]Rejesta za dukani
Katika aina hii ya rejesta maneno ambayo hutumika ni yale ambayo hujumuisha mazungumzo kati ya mteja na muuza duka, kwa mfano; “mchele kilo moja”, mafuta ya kula robo”, “nipatie vocha”.
[list=lower-roman]
[*]Rejesta za kanisani
Hii hujumuisha maneno ambayo hutumika kwenye makanisani kati ya mchungaji na waumini wake au kati ya waumini na waumini, kwa mfano; Bwana asifiwe”, “ Sasa ni kipindi cha mahubiri”, “kwaya iimbe”.
[list=lower-roman]
[*]Rejesta za shuleni
Haya ni aina ya mazungumzo ambayo hutumika shuleni kati ya walimu na wanafunzi au wanafunzi pekee au walimu na walimu wenzao, kwa mfano; “Kusanyeni madaftari”, Ingieni darasani”, “wanafunzi achene kelele”.
Dhima za Rejesta
MIISIMU
Ni lugha isiyo sanifu inayozungumzwa na kikundi Fulani cha watu wachache wenye utamaduni mmoja na baadae lugha hiyo hupotea, maneno yanayobaki husanifiwa na kuwa misamiati kamili ya Kiswahili.
Chanzo ya Miisimu

- Kupashana habari, ujuzi, maarifa,
- Kuelimisha jamii
- Husaidia kujenga uhusiano mwema baina ya watu, kwa mfano wafanyabiashara, wavuvi, wanafunzi na wafanyakazi mbalimbali
- Husaidia kujua kutumia lugha kama inavyotakiwa
- Husaidia kufikisha ujumbe kama ilivyokusudiwa
- Husaidia kuepusha mgogoro katika jamii.
Msingi wa Matumizi ya Lugha
Mambo yanayoathiri matumizi ya lugha
- Mada inayozungumzwa, kwa mfano Mada inayohusu masomo, sherehe, msiba, au mazungumzo yanayohusu muziki lugha hutofautiana kutokana na mazingira hayo.
- Muktadha/ hii huhusisha mahali mazungumzo yanapofanyika, ni muhimu kuzingatia sehemu mazungumzo yanapofanyika, kwa mfano; mahakamani, jeshini, shuleni au kanisani.
- Malengo ya mazungumzo, malengo huweza kuwa ni ya kuelimisha, kukejeli au kutia moyo kwa hiyo.
- Uhusiano uliopo baina ya wazungumzaji, ni muhimu sana kuangalia uhusiano baina ya mtu unaezungumza nae, anaweza kuwa mwalimu, mzee, mwanafunzi mwenzako, au mzazi. Uhusiano baina ya watu huathiri pia matumizi ya lugha.
Rejesta ni mtindo wa lugha ambayo maneno yake na mtindo wake wa kuongea huwa na dhumuni la kukidhi haja ya mawasiliano katika uwanja Fulani au mazingira maalumu.
Rejesta huonyesha anayezungumza yupo katika mazingira gani na hadhi yake ni ipi.
AINA ZA REJESTA
Aina za rejesta ziko nyingi kutokana na kukidhi haja ya mawasiliano katika uwanja Fulani wa mazungumzo;
[list=lower-roman]
[*]Rejesta za hospitalini
Aina hii ya rejesta hutumika hospitalini na mgonjwa akizungumza na daktari au mhudumu tofauti wa afya. Kwa mfano; “Ingia kwa daktari”, “chumba cha sindano”, “mgonjwa vipi hali yako”.
[list=lower-roman]
[*]Rejesta za hotelini
Hii hujumuisha maneno ambayo mara nyingi hutumika hotelini au kwa watu wengine ambao wanauza chakula, maneno haya yakitumika sehemu nyingine huweza kuleta tofauti katika maana zake, kwa mfano; “mimi nyama” nionyeshe menyu ya chakula”, “mimi chipsi kuku”
[list=lower-roman]
[*]Rejesta za dukani
Katika aina hii ya rejesta maneno ambayo hutumika ni yale ambayo hujumuisha mazungumzo kati ya mteja na muuza duka, kwa mfano; “mchele kilo moja”, mafuta ya kula robo”, “nipatie vocha”.
[list=lower-roman]
[*]Rejesta za kanisani
Hii hujumuisha maneno ambayo hutumika kwenye makanisani kati ya mchungaji na waumini wake au kati ya waumini na waumini, kwa mfano; Bwana asifiwe”, “ Sasa ni kipindi cha mahubiri”, “kwaya iimbe”.
[list=lower-roman]
[*]Rejesta za shuleni
Haya ni aina ya mazungumzo ambayo hutumika shuleni kati ya walimu na wanafunzi au wanafunzi pekee au walimu na walimu wenzao, kwa mfano; “Kusanyeni madaftari”, Ingieni darasani”, “wanafunzi achene kelele”.
Dhima za Rejesta
- Husaidia kukidhi mawasiliano baina ya makundi mbalimbali, kwa mfano rejesta ya hotelini, rejesta ya mahakamani na jinsi zinazotumika tofauti kulingana na mazingira yake.
- Hutambulisha wazungumzaji wa aina Fulani kutokana na aina ya rejesta wanayotumia.
- Huficha ujumbe kwa watu wasiohusika na rejesta hiyo, mara nyingi rejesta huhusisha lugha ya mafumbo ambayo wahusika pekee huelewa.
- Husaidia kufikisha ujumbe kwa njia fupi na ya haraka, kwa mfano; Rejesta ya hospitali, daktari akisema kutwa mara tatu, mgonjwa ni rahisi kuelewa nini kinachozungumzwa.
- Husaidia kukuza lugha kutokana na kuongezeka misamiati mipya inayotokana na rejesta zinazozungumzwa.
- Hupamba lugha, haswa kwa rejesta za mitaani.
MIISIMU
Ni lugha isiyo sanifu inayozungumzwa na kikundi Fulani cha watu wachache wenye utamaduni mmoja na baadae lugha hiyo hupotea, maneno yanayobaki husanifiwa na kuwa misamiati kamili ya Kiswahili.
Chanzo ya Miisimu
- Mabadiliko yanayoikumba jamii, mabadiliko hayo yanaweza kuwa ya kisiasa, kiuchumi na kiikolojia, kwa mfano; Hari mpya, nguvu mpya na kasi mpya” yalizuka mwaka 2005.
- Hali ya utani miongoni mwa watu mbalimbali, mara nyingi misimu hiyo inaweza kuwa kejeli, dharau au dhihaka.
- >>>>>>>>>INAENDELEA>>>>>>>>>>>>