SIMULIZI-PENZI LA BINTI NGUVA
PENZI LA BINTI NGUVA
SEHEMU YA 1
Aya mdau ule wakati ulio kuwa una usubiri kwa hamu ndio ume wadia, katika utangulizi tume mwona jinsi binti matata, Fadhira
binti nguva alivyo hatari kwa vijana wadoezi wa kitumbua chake, ebu basi tuungane na mimi msimulizi wako Kidume Jr Baita katika
kisa hiki kingine tena cha kusisimua, mkasa unaazia siku moja jioni mida ya saa kumi na moja jioni, ni mwezi mmoja tu! toka
Fadhira alipo mfanyia kitu mbaya Kijana Kanyika, huku kijijini kila mmoja akiongea lakwake, juu ya kupotea kwa kijana huyu,
ambae sifa yake ya ubakaji ilijulikana sana pale kijijini, wapo waliosema Kanyika amemia kijiji cha pili yaani mandepwende,
wapo waliosema ameenda mjini kutafuta maisha, wengine walisema ameenda polini kupasua mbao, kiukweli kijijini pale ofu ya
ubakaji ilipungua maana wakina mama walishindwa atakuwaachia watoto wadogo wakike wacheze wenyewe, wakiofia Kanyika asije
akawapitia, mida hii ya jioni binti Fadhira alionekana akikatiza kwenye mitaa ya kijiji cha Matimila akilejea njia ambayo
siku zote utumia wakati wakuja, kwamaana hiyo ni kama alikuwa anarudi kwao, ambako vijana wengi walitamani kupajuwa ili
waweze kumpata liulahisi kwa gia ya kuoa, Fadhira akiwa na ungo wake ulio jaandizi kichwani na kisu chake kikali cha mkunjo
(chikwakwa) mkononi alitembea taratibu akikatiza eneo lililo changamka sana la kijiji hiki, ambalo lilitumika kama soko, kwa
walio muona walizani kuwa binti huyu anatembea kwa madaa, akifanya makusudi kutikisa kamsambwanda kake ka wastani, maana
ukimwona anavyotenbea unge tamani asisogee, yani afanye kama wanavyo fanya askari wanapoambwa chapa mguu, watu walimtazama
kwa macho ya usuda huku vijana wachache wakikosa uvumilivu na kumchokoza "dada ume jaliwa" lakini yeye akuwajari zaidi
alitembea taratibu kuelekea nje ya mji, usawa wa mto matimila, Fadhira binti Nguva alitembea huku akiwaza jinsi alivyo
chelewa, maana uwa anapenda sana kurudi mapema kuogopa binadamu wasije kumdhuru, asa baada ya tukio la sikuile kuviziwa na
Kanyika, japo kwa wanao mfahamu binti huyu angeweza ata kukiangamiza kijiji kizima kwa mkono wake, lakini hakutaaka
kuendelea kuwa umiza binadamu, nahii ni kutokana na kuanza kumpenda kijana mmoja ambae atajina lake bado alikuwa
ajalifahamu, licha yakuwa aliwai kumwona malambili mfurulizo, siku nyingi zilizo pita , lakini bado aliendelea kumkumbuka
kijana huyu, japo ajamwona mda mrefu sasa lakini sura yake ilimjia usoni, akakumbuka siku ya kwanza kumwona, yule kijana
alikuwa anakuja mbele yake akionekana mwenye mawazo mengi sana kichwani, yeye Fadhira alikuwa amebeba ndizi zake na mkononi
ame beba kisu chake kama kawaida, kiukweli alitokea kuvutiwa na kijana yule, ambae alionekana kuwa ni mtulivu sana, lakini
wakati wana pishana kwa bahati mbaya waka pigana kikumbo cha vibega, na kisu cha fadhira kikadondoka, "samahani sana dada
yangu, samahani sijuwi mawazo yangu yalikuwa wapi, yani sikukuona kabisa" alisema yule kijana huku akiinama na kuokota kile
kisu mkunjo, na kumkabidhi fadhira mkononi, wakati anamkabidhi ndipo fadhira aka mwona yule kijana akimtazama usoni, na
kumshangaa kwa uzuri wake alionao, haya mdau inaonyesha Binti Nguva amedata kwa kijana binadamu, itakuwaje? minaona nikupe offer mdau, chakufanya usizime data nakuletea sehemu ya pili baada ya kuona like na comment zakutosha, kwenye hii sehemu ya kwanza.........?