HADITHI-THE WORLD OF MY OWN, _5
(Ulimwengu wa ya kwangu)
Na Hemed Mayugu.
ILIPOISHIA.
"Wewe Binti mbona unalia naomba unambie tafadhali unaitwa nani? "
Mzee Aldofo aliuliza tena.
"Naitwa Alisha"
Alisha aliitikia kwa taratibu sana, huku machozi yakizidi kumtoka.
"Nini kimekukuta mpaka nikukute mtoni?"
"Nimetupwa na wanajeshi wa Cardin solomon!"
"Ndiyo wamekubaka?"
Mzee Aldofo aliuliza

SONGA NAYO.
Swali la mzee Aldofo lilimshitua sana Alisha, alibaki akiwa amezubaa huku akitafakari ni vipi mzee Yule kaujua ukweli kuhusu kubakwa kwake.
"Ndiyo,.....wamenibakaaa!!"
Alisha alisema huku akilia kabisa, ilikuwa kama kaongezewa machungu.
Baada ya kuambiwa hivyo mzee Aldofo hakutaka tena kuuliza zaidi ya hapo kwani alijua moja kwa moja kuwa wanajeshi kufanya hivyo ilikuwa ni sehemu ya sitarehe zao.
"Pole!....ila naomba unyamaze maana hayo yashakwisha, sasa hivi uko sehemu salama wala hakuna tatizo ambalo litakukuta tena na wala hutobakwa tena!"
Mzee Aldofo alisema. Alisikitishwa sana na alichoambiwa.
Baada ya kumjua Alisha na kugundua tatizo lililosababisha Alisha kutupwa mtoni, Mzee yule alimchukua Alisha na kuongoza naye Nyumbani kwake. Mzee Yule alikuwa anakaa katika mji wa.............................ambao uko mipakani kabisa mwa Congo Drc na Congo Brazzaville alimuhifadhi Alisha nyumbani kwake kama mjukuu wake, alimpenda sana sana, bahati mbaya mzee Aldofo hakuwa na mke alikuwa akiishi yeye kama yeye, nyumba yake ilikuwa ni nyumba ya miti na ameifunikwa makuti ya minazi, ilikuwa ni Nyumba ya vyumba viliwi na sebure, maisha ya nyumbani kwa mzee Aldofo Alisha aliyapokea kwa furaha sana, kwani aliamini kuwa mwisho wa matatizo ambayo yanamkuta ndio ilikuwa kikomo. Ingawa alikuwa akiishi na mzee yule kwa furaha kama babu yake lakini hakusahau kabisa kukumbuka alikotoka, aliendelea kumkumbuka mdogo wake Antonio huku akijiapiza kuwa ipo siku moja muhimu sana lazima akutane na Mdogo wake huyo. Alisha hakumuwaza Mdogo wake tu alikuwa akiwaza pia kulipa kisasi cha kifo cha wazazi wake.
*******
Miezi mitatu ilikatika Alisha aliendelea kukaa na Babu yake mzee Aldofo, wakati huo alikuwa akiendelea kuzifuatilia taarifa ambazo zilikuwa zinaendelea kutoka katika taifa lake, aliamini labda siku moja angeweza kuzisikia taarifa za mdogo wake. Mpaka hapo Katika taifa la Africa ya kati mambo yalikuwa yashakuwa mazuri watu walikuwa washarudishwa katika makazi yao yaliyokuwa yamezoeleka, amani ilikuwa imerudi, watu wataifa lile wengi walibadilika na kumpenda Rais wao mpya Cardin solomon, wengi waliyabandika mabango ya picha yake katika nyumba zao, waliyafurahia sana matunda yake kama alivyokuwa amewahidi, wengi hawakuyajutia maamuzi yake ya kumpindua Rais aliyekuwepo Seraphin Abel. Kwa mazuri yake ambayo yaliwafurahisha watu wa taifa lile, yalisababisha baadhi ya watu wasahau kuwa huyo huyo ndiye aliyesababisha vifo vya ndugu zao, watoto pamoja na waume na wanaume kuwapoteza wanawake zao. Kwa watu wachache ndio walikuwa na hasira na chuki juu ya Cardin solomon kama ilivyo kwa Alisha, waliamini kabisa kuwa anayewaongoza ni shetani tena nyoka mkubwa wa kijani ambaye anajificha kwenye majani ya kijani ili aonekane kufanana na majani hayo. Kama walivyokuwa wanawaza kweli nyuma yake Cardin solomon alikuwa ni mnyanyasaji, muuaji, halafu pia mbakaji, alikuwa si Mwanaume wa kumuona Binti Mzuuri ambaye alikuwa na Umri wa barehe akamwacha bila kufanya naye mapenzi, eiza kwa kuwabaka au kwa kukubaliana, asilimia kubwa aliwalazimisha kufanya nao mapenzi kitu ambacho ilikuwa ni ubakaji, wengine alikuwa akiwafanyia hivyo mwisho anaua na kuua, wengine alikuwa akiwapa zawadi nono huku akiwafumba midomo yao wasiseme huku akiahidi kuwasomesha mpaka Chuo kikuu. Hali ilikuwa hivyo kwa Cardin solomon. Baraza lake la Mawaziri lilikuwa kamilifu kweli kweli na hakuna hata Waziri mmoja aliyekuwa anaijua tabia yake, isipokuwa watu wachache hasa wanajeshi ndio waliokuwa wanaijua tabia yake, hasa Generali wake Manoka. Hicho kilisababisha Cardin solomon kulithamini sana Jeshi lake.
*******
Siku zilizidi kukatika, mpaka Mwaka nao ukaisha, Alisha aliendelea kukaa na Babu yake mzee Aldofo kwa mapenzi ya dhati. Mpaka hapo masikini alikuwa bado hajapata taarifa yoyote ya mdogo wake, alijikuta anapata hasira na uchungu sana, moyoni alianza kuamini kuwa Antonio alikuwa kaisha fariki kwahio asahau tu. Kwa Jinsi ambavyo Cardin solomon alikuwa anamtafuta Mdogo wake alimbidi kuamini kuwa tayari Antonio kaisha patikana na kuuliwa. Chuki ya kisasi kwa Cardin Solomon zilikuwa sio Chache kwa Alisha, alikuwa anatamani abadilike hata sura yake arudi inchini mwake akalipe kisasi. Wakati wote huo alikuwa kaisha msimulia kisa kizima cha maisha yake Babu yake mzee Aldofo, Mzee yule aliyekuwa na Busara za kutosha alikuwa akimshauri Alisha azidi kuwa mvumilivu juu ya swala la kulipa kisasi, ikifika wakati muafaka mungu atamuoneshea kwahio mambo yatakuwa rahisi.

Tareha 7 Mwezi wa 4 Mwaka huo huo katika inchi ya Congo uliibuka ugomvi wa kisiansa baina ya panda mbili zote, Congo ya Brazzaville na Congo ya Kinshasa. Ugomvi huo wa kisiansa ulisababisha makundi ya kivita kuzuka na baadhi ya watu kufariki kwa kupigwa risasi. Jeshi la Msituni la Jamuhuri ya Congo Drc(kinshasa) lilivamia katika sehemu za mipakani mwa Congo Brazzaville na kuanza kuwateka watu huku wakiua wazee na watoto ambao walikuwa hawana uwezo wa kufanya chochote, ilikuwa ni vita ya kuumiza kweli kweli, watu wengi walikufa bila kutarajia. Masikini mzee Aldofo naye alikuwa miongoni mwa waliouliwa na Jeshi la Msituni la Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo(DRC), kifo chake kilikuwa sumu nyingine kwa Alisha, aliumia sana Binti yule, hapo hapo naye alichukuliwa na kundi lile na Kujumuishwa katika Jeshi la Msituni la Congo. Moyoni Alisha alizidi kujiandika kuwa yanayomkuta sasa Duniani yote ni ya kwake.
Mabinti na vijana waliochukuliwa walikuwa ni wengi sana, lengo la kuwachukua lilikuwa ni kuwafanya wapiganaji wa kundi lile la kivita ambalo lilijiita M23, lilikuwa chini ya Jenerali KABANGA. Baada ya kufikishwa kambini ambayo ilikuwa msituni Jenerali wao Aliomba watu wote waliokamatwa, wanaume, wanawake wenye nguvu, pamoja na vijana Mabarobaro wapange msitari mmoja, agizo lake lilitekelezwa haraka sana, tena watu walikuwa wakipigwa fimbo ili zoezi liende haraka. Baada ya Msitari kupangwa Generali yule alianza kupita akilikagua gwalide lake jipya, alikuwa akiangalia mtu mmoja baada ya Mwingine, wakati huo alikuwa akiwatikisa, alipokuwa anaona kuwa ni Gaoigoi pale pale alimpiga risasi na kuua, hali ile bado ilizidi kumchanganya Alisha zaidi, Dunia nzima yeye aliiona imejaa Damu tu, hakuna sehemu yenye amani.
Jenerali yule alipomfikia Alisha, alisimama kwa dakika nzima kabisa huku akimwangalia sana.
"Naombeni mniperekee ndani kwangu huyu?"
Lilikuwa ni Agizo la Jenarali. walijitokeza Mabint wawili ambao nao walipendeza kutazamwa na kumshika Alisha kisha wakaongozana naye mpaka kwenye nyumba moja ndogo kuliko zote katika nyumba zilizokuwa sehemu hiyo. Baada ya kufikishwa ndani Wanajeshi wale wa kike walianza kumchezea Alisha maungo yake, lengo likiwa kumwamsha kihisia katika swala zima la kufanya mapenzi, ilikuwa ni kazi sana kwa mabinti wale kulifanya zoezi lile kwa Alisha kwani alipiga kelele huku akiwa anapiga ngumi.
"Tafadhali sio kwamba tunapenda kukufanyia hivi, wala si kwamba tunashindwa kukupiga wewe, ila nikwasababu tunaogopa kufa, naomba tu ukubaliane na hili, hata sisi tulikuwa kama wewe, tuligoma kabisa kufanya kile ambacho huyu jamaa alikuwa anakitaka, Unavyotuona tulikuwa zaidi ya ishirini wasichana tuliokuwa tumetekwa, na wenye mvuto uliompendeza, wote alikuwa anataka tufanye naye mapenzi, tena alitwambia sisi wenyewe tuziamshe hisia zetu tukiwa tayari yeye aje kutuingilia, tulikuwa zaidi ya ishirini, humu ndani tulikuwa tumebanana, kwa idadi hiyo hakuna hata mmoja aliyekuwa tayari, alikuwa ametupa dakika 15 tu, zilipoisha aliuliza wangapi mpo tayari, hakuna aliyejitokeza, Pale pale aliitoa bastola yake na kuuwa kumi kati yetu, halina huruma hili libaba, sisi tunakusaidia kuzipandisha hisia zako kwasababu ndio kazi kubwa aliyotupa, tafadhali kuwa tu msataharabu, kubari aje afanye kile anachokihitaji halafu utaishi kwa amani la sivyo hapa hapa utaona tunakufa wote"
Mabinti wale walisema baada ya kuona vita ya kumuandaa Alisha katika swala zima la maandalizi ya kuingiliwa kuwa ngumu. Wakati huo huo Generali wao aliingia ndani, alichofika kuuliza ni kwamba tayari, Mabinti wale masikini wote walikuwa wanatetemeka, jinsi ya kumjibu walikuwa hawana, kwani Alisha alikuwa hayuko tayari kabisa kukifanya kitendo hicho na Jenerali yule wa Jeshi la Msituni.
"We mbona una roho mbaya hivyo?"
Alisha alitamka, bila kutarajia, Macho ya wale Mabinti wote yalimugeukia huku yakitokwa machozi, kumbe tayari alikuwa kalifanya kosa kubwa sana kutamka hivyo mbele ya Jenerali yule.
"Mmeshindwa kazi, nitaajili wengine"
Kwa kauli hiyo, ilisikika tu milio ya risasi, kilichokuwa mbele ya Macho ya Alisha ulikuwa ni Msiba tayari. Masikini Alisha alishindwa kuamini kabisa macho yake, machozi yakamtoka. Ndani ya sekunde therathini akayakumbuka maneno ya mabinti wale wawili ambao tayari miili yao ilikuwa chini, alisha aliona kuwa kaifanya zambi kubwa sana, ni bora angekubali tu basi wenzake wangeendelea kuishi.
"Niue na mimi?"
Alisha alitamka.
"Ni vigumu kukuua Mwanamke mrembo kama wewe, kwakweli wengine wote huwa si warembo kama wewe, yaani kila dakika iendayo kwa mungu unanivutia zaidi machoni na moyoni mwangu, mpaka hapo unanishawishi kuua wasichana wangu wote ambao ni wazurii ili nibaki na wewe peke yako!"
Jenerali yule aliyekuwa na sura ngumu, iliyokuwa imejaa viraka vya majeraha usoni, vikamfanya uso wake kutisha alisema.
Alisha alikosa pumzi kabisa masikini. Akajiinamia chini kisha akatamka.
"Hivi kwanini ni Mimi tu?"
Alijiuliza swali ambalo jawabu lake huwenda alikuwa nalo yeye, alikuwa ni Binti mzuuri mwenye umbo la kuvutia, sura angavu, ni Mwanaume gani angemuona akamwacha, Ingawa alikuwa na umri wa miaka kumi na saba mpaka hapo, kwakweli alivutia kuwa sehemu ya sitarehe ya Mwanaume yeyote.
Alisha akiwa anawaza generali yule alitamka maneno kwa lugha yao ya kilingara, haraka sana waliingia mabinti wengine tena wawili, hawa walifika wakainama chini na kuiokota miili ya Wenzao kisha wakaiburuta mpaka inje, kitendo hicho kilizidi kumuuma Alisha.
"Bila shaka unakisasi moyoni Mwako, huwezi kuua wala kuwa na Ujasiri wa kuua bila kuizoea hali hii. Lazima uone mauaji ni sehemu ya maisha yako. Wazazi wako bila shaka wameuliwa, labda na Jeshi langu, kwahio jifunze kuua nawewe uje uuwe, lakini kabla ujaanza kuua lazima uwe mpenzi wangu halafu nikufundishe Jinsi ya kuua"
Jenerali yule aliyekuwa na sura komavu, ngumu kama jina lake alisema.
Baada ya kusema hivyo alimsogelea Alisha na kumkumbatia huku akimbembeleza kama Mtoto, Alisha naye alishindwa kujifaragua katika mikono ya yule Mwanaume, maneno aliyoyazungumza yalimgusa, alitaka alipe kisasi cha wazazi wake, je atakilipa bila kushuudia mauaji jinsi yalivyo? Ni kweli ataweza kuua bila kuzoea kuua? Lazima ajue kuua, azoee kuona watu wakifa mbele ya macho yake, aone Jinsi Binadamu anavyomuua Binadamu Mwenzake, naye pia ashike kisu aue ndio ajifunze aweze kulipa kisasi. Akiwa katika mawazo aliyahusanisha maneno ya Mzee Aldofo kuwa wakati wa kulipa kisasi bado kwahio avumilie Mungu atamfikisha na kumfanyia wepesi, alijikuta anaanza kuamini kuwa labda ni sehemu ya kujifunza Jinsi ya kukilipa kisasi chake.
"Mwanamke mzuuri?"
Jenerali aliita.
"Umh!"
Alisha alitika kwa mguno wa sauti.
"Nakupenda!"
Jenarali alisema. Mwanaume yule naye alijikuta anakuwa dhaifu sana kwa Alisha, kitendo ambacho hata yeye alikuwa hakuwahi kuwaza.
Alisha hakujibu kitu katika kauli hiyo. Jenerali alimwachia akaita tena mabinti wengine wawili ndani, wakaja nao kwa haraka sana. Walikuwa ni wasichana waliokuwa wanavutia si haba. Baada ya kufika alitoa agizo huku machozi yakimtoka.
"Yule Mwanamke wangu, naombeni mniandalie vizuri kwani nahitaji iwe starehe yangu kwa siku nzima ya leo, nampenda sana.