Muigizaji wa Bongo Movie Chopa Mchopanga na ishu ya kutaka kujiua
Soudy Brown alimtafuta Mchopanga ambae amesema hiyo picha ilitolewa kwenye movie yake mpya iliyotoka hivi karibuni, inayohusu story za mahaba na haihusiani na mechi ya Yanga iliyochezwa hivi karibuni, ingawa yeye ni mshabiki mkubwa wa Yanga na anaipenda lakini hawezi kujiua kwa sababu ya timu hiyo kufungwa