Kuhusu Zitto Kabwe: CCM wamecheza game of mind kuelekea uchaguzi mkuu
Zitto Kabwe
Maoni Huru kutoka kwa Mdau:
'Hatujui kweli kinachofurukuta mdani ya CHADEMA na hatujui kama kosa lilikuwa linavumilika ama haivumiliki.
Ila kitendo cha mahakama kufuta kesi ya Zitto haraka haraka inaweza
ikawa ni game mind ya kisiasa ya CCM kwa sababu wanajua kuwa wazee wa
kukurupuka watamfukuza haraka haraka na lazima kuna damage itatokea.
Au mnadhani kwa nini kesi imefutwa kuelekea uchaguzi?
Mimi sio mamluki hata huyo ZZK, sijawahi kumuona zaidi ya kwenye
magazeti, ila kilichopo kwa sasa ni kuwa CCM imechokwa na CHADEMA
haijajiandaa'