KWELI WATU TUNATOKA MBALI ONA HII>>>Tazama Picha Ya Mbunge Wa Iringa Mjini Peter Msigwa Enzi Hizoooo Anauza Mitumba





Mpendwa msomaji ni matumaini yetu unaendelea kuperuzi mtandao wako wa Dj Sek  siku zote tupo kwa ajili ya kukuletea habari na matukio mbalimbali kwa njia tofauti ambayo yatakuelimisha, kukuburudisha na kukujenga.
Leo katika picha ya siku ama iliyobamba, ni ya Mbunge wa Iringa, mjini, Mh.Mchungaji Peter Msigwa. Kwa mujibu wa chanzo cha picha hiyo 

 
iliyowekwa na Msigwa mwenyewe, k upitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Facebook na kuipa maelezo haya “Enzi hizo nauza mitumba (mantigo) Iringa MJINI kabla jengo la Tanesco halijajengwa……enzi hizo tuliita kumechisha.”

Mtandao huu umeona si vibaya tukishare historia hii ambayo inaweza kuwapa ujasiri vijana na kutokata tamaa katika kutafuta mafanikio ya ndoto zao. chanzo Kengete blog,
Powered by Blogger.