mungu wasaidie wanandoa hawa:MKE WANGU ATANIUA JAMANI, ANATAKA TUFANYE MAPENZI KILA SIKU.
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme
yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya
wiki kama 3 zilizopita amekuwa akinilazimisha nile mzigo kila siku hapa
nilipo kichwa kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku na jana
nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa ma8 nile mzigo
nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku 3 mbele target
yangu ni kuwa baada ya siku 3 anatarajia kuingia kwenye siku zake so
ntapata mapumzo
ya kutosha,cha ajabu mke wangu kaanza kulia na kulalamika kuwa haamini
kauli yangu ya kukataa kula mzigo, ilinibidi nimmbeleze kisha nikampoza
na kamoja hapa nilipo nipo njian natoka job ameshanitumia sms ananiambia
eti niwahi Anahamu ya dudu langu nimekaa kimya sikumjibu kanipigia simu
anasisitiza alichokiandika kwenye sms yake tena kwa sauti ya
majonzi.Nampenda mke wangu ila ananichanganya kwa vile tabia hii hakuwa
nayo mi ndio nilikuwa initiator wa mchezo wetu.
Hebu wadau naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi amekuwa hivi? Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka safarini ambapo nilikaa kule kwa miezi 3 bila kushiriki
Hebu wadau naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi amekuwa hivi? Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka safarini ambapo nilikaa kule kwa miezi 3 bila kushiriki