Ken Gregory anaishi Peterborough, Uingereza alikuwa akiishi na mke wake
Teresa Gilbertso, lakini huyu alikuwa mke wa pili baada ya mke wake wa kwanza kufariki, ambaye alikuwa anaitwa
Maureen.
Uamuzi wa Gregory
kujipanga kwa ajili ya kwenda kwenye kaburi la Marehemu mke wake wa
kwanza lilimuingiza kwenye tatizo ambalo huenda hakuwa amefikiria ukubwa
wake.
Gregory alipanga kutembelea kaburi la
Maureen ambaye ni mke wake wa kwanza aliyefariki, baada ya kuvutana kwa muda mrefu
Teresa akaenda jikoni halafu akarudi akiwa amebeba bakuli la maji ya moto na kummwagia mumewe mgongoni.
Wanandoa hao walikutana miaka 7 iliyopita, baada ya tukio hilo mwanamke huyo kwa sasa anakabiliwa na mashtaka ya kumjeruhi mumewe.
Ni halali yako kupata kila stori
inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia
twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza