Baada
ya kutoka Chuoni anakosomea Alikuja siku mbili kabla ya krsimass vile
nilikuwa nimemisi tulishinda tukiduu! Alivo ondoka tangu siku ya boxing
day, nimeanza kuugua nahisi maumivu makali sana wakati wa kukojoa
kuanzia jana mpaka sasa nakojoa usaha kabisa rafiki yangu kaniambia Ni
Gono Tayari na akaniambia kawaida gono huwa haliponi hospital mpaka dawa
za kienyeji, Naombeni ushauri jamani kuna ukweli katka hili? Pengine
nitumie dawa gani kwa wanao ufahamu ugonjwa huu? Naomba kuwasilisha.
Ushauri wangu:OKOKA KWANI HAKUNA LISILOWEZEKANA KWA MUNGU