Mwanamuziki Diamond Platnumz Amejikuta katika wakati mgumu Baada ya
Tatizo la Mguu lilikuwa likimsumbua kwa miaka miwili kufikia hatua mpaka
kufanyiwa upasuaji kuokoa mguu wake usikatwe..Diamond alipelekwa
Hospitali ya TMJ baada ya maumivu kuzidi na baada ya kufanyiwa uchunguzi
aligundulika na Ugongwa unaitwa FOOT CORN ama Kisahani kwenye Goti
..Ambapo Daktari alisema ni Ugonjwa mbaya sana ambao usipotibiwa haraka
hulazika mgonjwa kukatwa Mguu..Diamond amefanyiwa upasuaji na kuondoa
Tatizo hilo katika Mguu wake ..