Msanii Ben Pol anusurika kubakwa na Shabiki Jukwaani...!



Shabiki kidogo akubake jukwaani? (Utani) Kanogewaa mpaka ukajaribu kujinasua!! Hongera kwa show nzuri Dodoma hadi @bdozen kakiri hiyo ilikua bonge la show kuliko zote aliwahi kufanya...tunatarajia zaidi, achia hiyo SOPHIA video basi.
Powered by Blogger.