Mtoto wa ajabu azaliwa Hospitali ya Mkoa Shinyanga
Maskini Huyu mtoto amezaliwa usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya
serikali ya Shinyanga akiwa na Vingo sehemu zisizo sahihi na baada ya
muda alifariki Dunia
Najiuliza kwa Sauti Je nini Sababu za Watoto Kama Hawa ? Kwani matukio ya wazazi kujifungua watoto wa ajabu yamekuwa mengi nyakati hizi....
Najiuliza kwa Sauti Je nini Sababu za Watoto Kama Hawa ? Kwani matukio ya wazazi kujifungua watoto wa ajabu yamekuwa mengi nyakati hizi....