Crazy Gk karudi tena mtu wangu, ana huu wimbo mpya #Shukrani.. Feat- Vanessa Mdee

gk
Unaweza kujiuliza King Crazy Gk anapokutana na Vanessa MdeeVee Money’ na kuamua kurekodi single wanaweza kurekodi nini na hiyo singo itakua ni style ipi? Itakuwa Hip hop au ya R&B?
Jibu la swali lako linajibiwa kwa Collabo hii ambayo Crazy Gk kamshirikisha Vanessa Mdee, singo inaitwa Shukrani, bonyeza play hapa kuisikiliza
Kama una chochote kuhusu wimbo huu, unaweza kuacha comment yako halafu mtun wetu akipita hapa atasoma ulichomwandikia mtu wangu
Powered by Blogger.