Ni Diamond na Linex tena kwenye hii Kolabo mpya #Salima video.
Linex na Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa wanaounda kundi la
Lekadutigite ambalo ni ndani yake lina mastaa wengine kama Ali
Kiba,Recho,Abdul Kiba,Baba Levo,Mwasiti,Queen Darlin na wengine wengi.
Linex kwenye kolabo hii amesema kuwa haikuwa imepangwa yaani ni miongoni mwa kolabo ambazo yeye na Diamond haikupangwa,Diamond aliukuta wimbo studio akaupenda akamfahamisha Linex wakaamua kufanya kwa pamoja singo inaitwa Salima,hii ni singo ya pili kwa Linex kufanya na Diamond baada ya ile ya kwanza iliyoitwa Nitaificha wapi.
Bonyeza play kutazama wimbo huu.