Kali ya mwaka:Sipendi Watu Wanavyoniambia Nina Kalio Fake, Wakati Nimebarikiwa na Mungu

, Sipendi Jinsi watu wanavyonisema kila nipitapo eti makalio yangu ya Mchina wakati mimi nimezaliwa hivyo hivyo toka nikiwa mdogo makalio yangu yalikuwa makubwa , kama unabisha uliza hata nilio soma nao shule ya msingi , Ki kweli sipendi hiyo tabia ya watu kila wakiona mtu amejaliwa basi eti ni fake wengine tumezaliwa hivyo jamani ..Khhaaaa Wabongo Acheni Ushamba

Powered by Blogger.