MISEMO YA KISWAHILI
Ø
Misemo ni
kauli fupifupi ambazo hutumiwa na jamii kusisitiza ukweli wa jambo fulani.
Kauli hizi huunganisha mawazo au dhana tofauti kuwa mwili mmoja na kupitisha
ujumbe uliodhamiriwa na mnenaji au mwaandishi.
Pia, misemo ni fungu la maneno ambalo hutumiwa na jamii tofautitofauti kwa lengo la kusisitiza maadili fulani.
Kwa mfano tukisema mtu amegonga mwamba hatumaanishi kwamba amepiga jiwe kubwa kwa kifaa chochote au kwa mkono, bali tunamaanisha kwamba ameshindwa kuendelea katika jambo fulani.
Ifuatayo ni misemo ya kiswahili na maana yake.

Kupata jiko
Huu msemo haumaanishi kununua au kuazimz jiko la kupikia. Una maana ya kupata mke au kuoa. Kwa hivyo, mtu anaposema nimepata jiko anamaanisha kuwa ameoa.

Kuangusha
uso
Maana ya huu msemo ni kuona aibu au soni mbele ya watu kwa jambo mbaya ulilolitenda. Mfano wa matumizi ni kama: ukitenda mema hapatatokea haja ya kujishusha hadhi kwa kuangusha uso kila wakati

Kuenda
mbwehu
Maana yake ni kutoa hewa mdomoni. Naneno lingine lililo na maana sawa na kuenda mbwehu ni kuteuka. Mfano wa matumizi ya msemo huu ni kama vile: Kwenda mbwehu ugenini ni dalili ya ulafi.

Enda
msobemsobe
Maana kamili ya msemo huu ni kuenda pasipo na utaratibu wowote. Pia huweza kumaanisha kuenda pasipo na hiari. Mfano katika sentensi: alipougua malaria alikuwa akienda msobemsobe.

mvange
Kabla ya kutoa maana ya msemo huu, ni vizuri uelewe kuwa maana ya neno ‘mvange’ ni ‘kombo’. Kwa hivyo mesomo huu unaweza kuwa ‘enda kombo,’ na maana yake mambo kufanyika kwa namna isiyotarajiwa. Kwa mfano, namshukuru Mola kwa sababu biashara yangu haikuenda mvange.

Chokoza
nyuki mzingani
Mzinga ni nyumba ya nyuki. Musemo huu unamaanisha kuenda palipo na hatari na kujaribu kuichokoza au kuikabili kijiga hatari hiyo. Mfano katika sentensi: kung’oa simba usinga wake wa shingoni ni mfano wa kumchokoza nyuki mzingani.

Bwaga
wimbo
Maana yake ni kuanzisha au kuongoza wimbo. Msemo huu huwezeka kutumika katika sentinsi kama ifuatayao; mahadhi ya aliyeubwaga wimbo yalikuwa mazuri.

Anua
majamvi
Maana ya msemo huu ni kutamatisha jambo au shughuli fulani uliyoanzisha. Pia kukunja jamvi ina maana sawa na kuanua majamvi. Kwa mfano, baada ya wanariadha kuanua majamvi yao, walirejea nchini.

Choma
mkuki
Maana ya msemo huu ni ‘kufuma’ au ‘shambulia’ kwa kutumia mkuki. Kwa mfano, siku hizi vituko ni vyingi, aghalabu watoto wanawachoma mikuku wenzao kwa utesi wa mashamba.

Fanya
ndaro
Neno ndaro linamaanisha sifa au sifu. Msemo huu unamaashisha kujisifu kwa jinsi mtu anavyozumgumza. Kwa mfanfo, ni vizuri uyaeleze yote uliyoyapitia bila ya kujifanyia ndaro na kumbe hamna lolote.

speksheni
Speksheni ni neno ambalo lina maana sawa na ukaguzi. Hivyo basi, msemo huu unamaanisha fanya ukaguzi au kagua. Kwa mfano, mkubwa wa kituo cha polisi hufanya speksheni ya nyumba zote za polisi kila jumapili.

udhia
Msemo huu unamaanisha kufanya usumbufu. Kwa mfano, hakudhamiria kufanya udhia kwa matamshi yake kwani aliyoyasema ni ya kweli.
Arusi ya mzofafaMsemo huu unamaanisha kufanya usumbufu. Kwa mfano, hakudhamiria kufanya udhia kwa matamshi yake kwani aliyoyasema ni ya kweli.
Neno ‘mzofafa’ lina maana sawa na maringo au madaha. Arusi ya mzofafa ina maana sawa na arusi iliyonoga kwa mbwembwe na hoihoi. Kwa mfano, Bwana alituandalia arusi ya mzofafa hatutaisahau