MISEMO YA KISWAHILI
Lenye mwanzo lina mwisho Msemo huu unamaanisha kuwa jambo lolote lililo na mwanzo lina mwiso. Msemo huu una maana sawa na hakuna ndefu ...
Online Tuition for you Historia ya Tanzania na maadili
Lenye mwanzo lina mwisho Msemo huu unamaanisha kuwa jambo lolote lililo na mwanzo lina mwiso. Msemo huu una maana sawa na hakuna ndefu ...
Maji ya kifuu bahari ya chungu Msemo huu una maana kuwa jambo dogo unalolidharau wewe, wenzako linawatoa jasho. (maji ya nazi mdudu ...
Maji! Ni kumbwe na kinyweo, matupu yasonga moyo Maana ya msemo huu ni kuwa, kunywa maji pekee bila ya kula chakula yaweza kusumbua tumb...
Kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa Msemo huu una maana kuwa unapewa sifa usizostahili. Msemo mwingine ulio na maana sawa ni ku...
Ø Misemo ni kauli fupifupi ambazo hutumiwa na jamii kusisitiza ukweli wa jambo fulani. Kauli hizi huunganisha mawazo au dhana tofauti kuw...