Je ushawahi kulala chini ya bahari?


Je ushawahi kulala chini ya bahari?

2 Disemba 2014 Imebadilishwa mwisho saa 14:30 GMT
Je ushawahi kufikiria kulala na samaki au ushawahi kuzungukwa na samaki?
Hoteli ya kwanza chini ya maji barani Afrika imefunguliwa kisiwani Pemba nchini Tanzania.
Hoteli hiyo ina umbali wa mita 250 kutoka baharini.
Muangalie Salim Kikeke akiwa kisiwani humo.
Powered by Blogger.