Chelsea haishikiki Ligi Kuu England
Mzunguko wa 14 umekamilika kwa timu zote 20 za ligi kuu ya England kushuka viwanjani.
Chelsea,
wameendeleza wimbi la ushindi na kukataa katakata kuzipa nafasi timu
nyingine 19 kupunguza pengo la pointi lililopo kati yake na timu hizo.Magoli ya Chelsea yamefungwa na Hazard, Drogba na Remy.
Everton na Hull City ziligawa pointi baada ya kufungana bao 1-1.
Hadi kufikia mzunguko huo wa 14, Chelsea inaongoza kwa kujikusanyia pointi 36, ikifuatiwa na Man City yenye pointi 30, Southampton ni ya tatu na pointi 26, Huku Manchester United kiwa nafasi ya nne na pointi 25 na nafasi ya tano inashikiliwa na West Ham yenye pointi 24.Ivabaada