LAHAJA ZA KISWAHILI
LAHAJA ZA KISWAHILI
LAHAJA NI NINI
Huu ni uzungumzaji unaotumiwa na kikundi fulani cha watu katika
eneo maalum .uzuzungumzaji huu hutofautiana na vikundi kama hivyo
vinavyoishi kwenye sehemu nyingine.Tofauti hii inawekuwa ya kimofolojia
,msamiati au kifonolojia
LAHAJA HUZUKA VIPI
Huzuka kutokana na vizuizi vinavyo tokana kati ya makundi
yanayozungumza lugha moja .Chambers &trudgill (1980) alisema kuwa
vizuizi hivi vinaweza kuwa vya kijamii au vya kijografia
Vya kijografia ni kama vile milima mito nk .vya kijamii ni kama
vile ni umbali kutoka jamii moja hadi nyingine hii inaweza kuathiri
lugha yao ,ikiwa hakuna uhusiano wa kimawasiliano kati ya makundi
hayo .
wanaelimu lahaja wanasema kuwa lugha inaweza kubadilika wakati
ambapo inapokelezwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine.baada ya muda
mrefu kutakuweko na mabadiliko katika sauti ,hapo basi msamiati mpya
hutokea.kuna lahaja kuu za kiswahili kv.
(1)lahaja za kijamii
(2)lahaja za kijografia
Lahaja za kiswahili ni lahaja zakijiografia
mfano wa lahaja za kijamii ni lugha mpya kabisa ya sheng
LAHAJA ZA KISWAHILI HUZUMZIWA WAPII
(1)pwani
(2)Visiwani
(3)Bara
UANISHAJI WA LAHAJA ZA KISWAHILI
Lahaja za kiswahili zinapatikana pwani ya afrika mashariki, visiwa vya mafia lamu na ugunja.
LAHAJA ZA PWANI
lahaja za kaskazini ni kv
kitikuu/kibajuni huzungumziwa sehemu ya kismayu nchini somalia
chimbalazi huzungumziwa nchini somalia katikati ya somalia na mogadishu
MAREJELEO ess TUKI (1990) kamusi sanihfuya isimu and lugha .dar es salaam:TUKI. MULIKA Na.13& Na 20 Dar es salaam.
Weber, H .(1985) A dictionary of phonetics and linguistics .Harlow longmanSaussure,F. (1916) Course in general linguistics.New york: macGraw-Hill
Sapir,E.(1921) LANGUAGE .New york : Harcourt brace
Steere ,E.(1950) Ahardbook for swahili language. London : The sheldon press .
Kapinga, C (1983) sarufi Maumbo ya kiswahili sanifu .Dar es salaam :TUKI
Hartman, R. (1972) .Dictionary of language and linguistics .London: Applied science publisher
Bloomfield, (1933) language.New york:Harit Rinehart.
Mdee,j .(1967) kiswahili: muundo na matumizi yake.Nairobi: intercontinental publishers ltd.
Mgullu, RS (1988) "Uhakiki wa makala ya Dhana za Mofu,alomofu na mofimu "katika mulika na 20 .dar es salaam.
Martinet,A (1973) morphonemics .New york.
Aitchison ,j.(1981) language change, progress or decay. London:Fontana paperbacks.
Ashton, (1947) swahili grammar .London:Longman.
Crystal ,C.( 1971) Linguistics.Middlesex:Penguin.
Abercrombie,D.(1965) studies in phonetics and linguistics.London:oxford university press
.