Siasa Pichaz 21 kutoka kwenye Majukwaa ya Kampeni za Wagombea wa CCM na UKAWA October 17 2015


October 17 2015 Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeendelea maeneo mbalimbali, Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli alikuwa Viwanja vya Furahisha Mwanza wakati Mgombea Urais anayeungwa Mkono na Vyama vya Umoja wa UKAWA, Edward Lowassa ilikuwa aendelee na Kampeni Tunduma lakini Mgombea Ubunge pekee Bwana David Silinde ndiye aliyepanda Jukwaani kwa ajili ya Kampeni na Edward Lowassa ataendelea na Kampeni siku ya kesho October 18 2015.
Hapa ni pichaz kutoka Majukwaa ya CCM na UKAWA leo.
2
3
6
7
13
14
15
16
17
20
21
22
24
Hizi hapa pichaz pia kutoka Viwanja vya Shule ya Msingi Tunduma, Tunduma Mbeya kwenye Kampeni za Mgombea Ubunge wa UKAWA David Silinde.

12088121_408382826020988_526534902756344926_n
12096062_408383066020964_2372259371722756017_n
12105837_408385176020753_9102802074939371140_n
12107236_408382869354317_5594769895415897915_n
12107281_408385042687433_8761690673141850151_n
12108155_408385102687427_8424840248350243115_n
12141766_408382992687638_2271971364818126268_n
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa
Powered by Blogger.