Croatia yaelekeza wahamiaji Slovenia
Croatia yaelekeza wahamiaji Slovenia
Serikali ya Hungary ilisema kuwa haijapewa njia nyingine
mbadala, kufuatia kushindwa kwa muungano wa ulaya kulinda mipaka ya nje
ya ulaya kutokana na kile ilichokitaka kuwa wahamiaji haramu.
Waziri wa mambo ya ndani wa Slovenia amesema kuwa wanatuma polisi zaidi kukabiliana na wahamiaji hao
Croatia imeanza
kuwaekeza maelfu ya wahamiaji kwenda kwa mpaka na Slovenia baada ya
Hungary kufunga mpaka wake usiku wa manane siku ya ijumaa.
Waziri wa mambo ya ndani wa Slovenia amesema kuwa wanatuma polisi zaidi kukabiliana na wahamiaji hao