HISTORIA YA KUSAMBAA KWA WABANTU AFRIKA
SWALI: Thibitisha kauli kuwa kusambaa kwa wabantu kulianzia Afrika ya Magharibi hadi Pwani ya afrika Mashariki kwa kuelezea hatua nne za kusambaa kwa wabantu hao.
Utangulizi:
Ushahidi
wa kihistoria unatueleza kuwa lugha za kibantu zilienea kutoka Afrika
Magharibi eneo la kaskazini magharibi ambako ni makazi ya wabantu mpaka
sasa. Kutoka eneo hilo ndicho chanzo cha kuwa na wabantu katika upwa wa
Afrika Mashariki.
Kiini
Hatua za kusambaa kwa wabantu ni kama zifuatazo
(a)
Wabantu walianza kuondoka katika eneo lao la asili (Kameruni) katika
karne ya 10-40 BC wakielekea upande wa Kusini - Mashariki kupitia kingo
za misitu ya Kongo na wengine walielekea Kusini karibu na visiwa vya
Fernando.
(b)
Wabantu walitawanyika kutoka Kusini mwa misitu ya Kongo kuanzia mwaka
100 BC na kuelekea maeneo ya Afrika baada ya idadi yao kuwa kubwa na
kukumbwa na upungufu wa ardhi kwa ajili ya kilimo na maeneo ya kulisha
wanyama wao.
(c)
Wabantu walitawanyika kutoka eneo la Kusini Mashariki ya Kongo na
kuelekea ukanda wa Afrika ya Mashariki mnamo karne ya 1 - 2AD katika
makundi madogo madogo ambayo yalitofautiana katika lugha na ada zao.
Tofauti hizi zilisababisha kuibuka kwa makabila ya kibantu ya Afrika
Mashariki na kwingineko ambako ndio chanzo cha lahaja mbalimbali ikiwemo
lahaja ya Kiunguja iliyotumika kusanifisha Kiswahili.
(d)
Mnamo karne ya 3 - 4AD wabantu walielekea katika nyika tambarare za
Pwani ambako walifanya maskani katika mabonde yenye rutuba yaliyo kando
kando ya mto Tana na kuanzisha makazi katika maeneo ya Shupate na
Shungwaya ambako ndiko chimbuko la waswahili wa leo.
Hitimisho
Upungufu
wa ardhi yenye rutuba na malisho ya wanyama ndicho chanzo cha kuendelea
kusambaa kwa wabantu kutoka Afrika ya Magharibi hadi Afrika ya
Mashariki na hatimaye katika upwa wa Afrika Mashariki hadi bara.
Fani na maudhui ni
dhana mbili ambazo hazitenganiki. Kuna mitazamo miwili ambayo inajaribu
kutazama uhusiano wa fani na maudhui katika kazi za fasihi andishi.
Mitazamo hiyo ni ya kidhanifu na kiyakinifu.
Katika mtazamo wa kidhanifu wapo wataalam mbalimbali ambao wametoa
maelezo yao kuhusu uhusiano wa fani na maudhui katika kazi za fasihi
andishi.
Tukianza na Bi. Materu, yeye anasema fani na maudhui ni kama mwili
na nguo hivyo anatoa maoni kuwa fani na maudhui ni dhana ambazo zinaweza
kutenganishwa kama vile mwili unavyoweza kutenganishwa na nguo. Bi.
Materu anasema maudhui ni mwili ambao ndilo umbo la ndani la kazi ya
fasihi, wakati nguo ndio fani ambayo ni umbo la nje la kazi ya fasihi.
Fauka ya hayo Mtaalam mwingine ni Penina Muhando (Mlama), anasema
kuwa fani na maudhui ni kama sahani na chakula. Sahani yaweza kutengwa
na chakula pale ambapo chakula hicho kitaondolewa. Penina Muhando
anasema, chakula ndio maudhui yaani umbo la ndani la kazi ya fasihi na
sahani ndio fani ambayo ni umbo la nje la kazi ya fasihi. Hivyo yeye
anaona kuwa fani na maudhui ni dhana mbili ambazo zinaweza kutenganishwa
na bila athari yoyote.
Naye T. Sengho anasema kuwa fani na maudhui ni kama chungwa na
ganda, akiwa na maana kuwa chungwa ndio maudhui na ganda ndio fani. Hapa
T. Sengho anatoa msimamo kuwa fani na maudhui vinaweza kutenganishwa
bila ya athari, kwani chungwa linaweza kutengwa na ganda lake.
Mtaalam mwingine anayeegemea mtazamo wa kidhanifu anasema kuwa fani
na maudhui ni kama kikombe na chai. Huyu ni Mtaalam F. Nkwera ambaye
anasema kuwa chai ndio maudhui na fani ndio kikombe. Hapa F. Nkwera
anataadharisha kuwa chai inaweza kunywewa kwenye kikombe na kikombe
kubakia kitupu, hivyo fani yaweza kutengwa na maudhui kama vile chai
inavyoweza kutengwa na kikombe.
Katika mtazamo wa kiyakinifu, Senkoro anasema kuwa fani na maudhui
ni sawa na sarafu. Hapa anamaanisha kuwa fani na maudhui ni dhana mbili
zisizoweza kutenganishwa kama vile pande mbili za sarafu moja.
Senkoro F. E. M. K. anasisitiza kuwa fani na maudhui
havitenganishiki bali hutegemeana ili kazi ya fasihi iweze kuwa bora
zaidi. Kazi ya fasihi ambayo maudhui yamezidi fani huwa chapwa au fani
ikizidi maudhui, kazi hiyo ya fasihi huwa chapwa, hivyo maudhui na fani
ni dhana ambazo hutemeana. Fani na maudhui lazima vilingane na
kushabihiana ili kazi yenyewe iweze kuwa bora na yenye mvuto zaidi.
Mtazamo mwingine unadai kuwa fani na maudhui hulinganishwa na roho
na mwili ambapo haiwezi kutenganishwa na mwili kwani kwa kufanya hivyo
athari itakayotokea ni kwamba mwili hautaweza kufanyakazi ipasavyo
pasipo roho.
Vilevile tunaweza kufananisha fani na maudhui kama gari na injini.
Hii ni dhana ambayo inajidhihirisha kuwa gari haliwezi kutenda bila
injini, hivyo ni kuweza kuthibitisha kuwa fani na maudhui ni dhana mbili
zisizotenganishwa kwani huleta athari zinapotenganishwa na vilevile
fani na maudhui hutenda kazi pamoja.
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap

FANI NA MAUDHUI FANI NA
MAUDHUI KATIKA FASIHI FANI: huu ni ufundi wa kisanaa autumiao msanii
katika kutoa ujumbe wake kwa hadhira iliyokusudiwa. Katika fani
kumegawanyika vipengele mbalimbali kama vile wahusika, mitindo, muundo,
mandhari, matumizi ya lugha, kufaulu na kutokufaulu kifani. Vipengele
muhimu vinavyoangaliwa ni hivi vifuatavyo: Mtindo; hii ni mbinu ya
kipekee kifani na kimaudhui, zinazotofautisha msanii mmoja na mwingine.
Kwa mfano, katika riwaya ya “Barua Ndefu kama hii” iliyoandikwa na
Mariama Ba ametumia mtindo wa kirafiki kuanzia mwanzo hadi mwisho. Kwa
mfano, barua ya Ramatulayi kwa Dauda Dieng na barua kwa Aisatu. Vilevile
katika tamthilia ya “Nguzo Mama” na Penina Muhando, ametumia mitindo
mbalimbali kwa lengo la kuipendezesha kazi yake na kuifanya iwe na mvuto
zaidi kwa hadhira yake. Kwa mfano, ametumia mtindo wa kimonolojia
(uk.3, 5, 13), vilevile ametumia mtindo wa majibizano mfano katika uk.
(36, 37) Pia ametumia nyimbo (uk.2, 3) Muundo; huu ni mpangilio wa
kiufundi anaoutumia mwandishi katika kupangilia kazi yake. Mwandisha
katika tamthilia ya “Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe” na tamthilia ya
“Nguzo Mama” zimetumia muundo wa moja kwa moja. Kwa mfano, katika “Nguzo
Mama” mwandishi ameanza kuonesha jitihada za akina mama katika
kusimamisha nguzo mama na anaonesha udhaifu uliojitokeza na jinsi
walivyoshindwa kuisimamisha nguzo. Yote hii ilitokana na kukosa umoja,
ushirikiano na kutothaminiana. Tamthilia hii imegawanywa katika sehemu
nne ambazo zimeoneshwa kama onesho la kwanza hadi la nne. Vilevile
Mariama Ba katika riwaya ya “Barua Ndefu kama hii” ametumia muundo
rejeshi kwani amechanganya matukio lakini yenye mtiririko mzuri. Alianza
na kifo cha Modu halafu akaelezea jinsi Modu na Ramatulayi
walivyokutana na kupendana na hatimaye kuoana. Pia muundo waweza
kufasiliwa kama mpangilio na mtiririko wa kazi ya fasihi, kwa upande wa
visa na mtukio. Katika riwaya ya “Pesa zako zinanuka” mwandishi ametumia
muundo changamano. Hii ni kwa sababu ndani ya muundo huu kuna
masimulizi ya moja kwa moja na kuna urejeshi ndani yake. Wahusika; hawa
ni watu au viumbe ambavyo mwandishi wa fasihi huwatumia ili kufanikisha
ujumbe kwa jamii husika. Katika kazi ya fasihi mwandishi huwagawa
wahusika katika makundi mawili yaani wahusika wakuu na wahusika wadogo.
Wahusika wakuu ni wale ambao wanajitokeza kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa
kazi ya fasihi. Wahusika wadogo ni wale wote ambao wanajitokeza sehemu
mbalimbali katika kazi ya fasihi kwa mfano, mwanzoni mwa kitabu hadi
mwishoni mwa kitabu. Mandhari; hii ni sehemu ambayo matukio ya hadithi
au masimulizi hutokea. Mandhari huweza kuwa halisi au ya kufikirika.
Maudhui; Maudhui katika kazi ya fasihi ni jumla ya mawazo yote
yanayozungumzwa pamoja na mtazamo wa mwandishi juu ya mawazo hayo.
Maudhui hujumuisha mawazo pamoja na mafunzo mbalimbali yaliyomsukuma
msanii hadi akatunga na kusanii kazi fulani ya kifasihi. Vipengele vya
maudhui ni pamoja na dhamira, migogoro, falsafa ujumbe na msimamo.
Dhamira; hili ni wazo kuu au mawazo mbalimbali yanayojitokeza katika
kazi ya fasihi. Senkoro anataadharisha maana hii isichanganywe na
maudhui kwani dhamira ni sehemu tu ya maudhui na aghalabu dhamira kuu
ndio hujenga kiini cha kazi ya fasihi. Dhamira zimegawanyika katika
makundi mawili, kuna dhamira kuu na dhamira ndogondogo. Kwa mfano,
katika riwaya ya “Pesa zako zinanuka” na Ben Mtobwa dhamira kuu ni
uhujumu uchumi, magendo, ulanguzi na rushwa ambapo mwandishi ameonesha
kuwa hiki ni kikwazo kikubwa kinachochangia kutokuwa na maendeleo katika
jamii. Zipo pia dhamira ndogondogo kama vile mapenzi, nafasi ya
mwanamke, uteteaji wa haki za binadamu, matabaka, nafasi ya mwanamume
katika jamii na dhamira hizi ndogondogo zimebebwa na ile dhamira kuu.
Migogoro; ni mivutano na misuguano mbalimbali katika kazi za fasihi.
Migogoro inaweza kuwa kati ya wahusika, familia zao, matabaka yao, au
hata katika nyadhifa mbalimbali. Vilevile migogoro yaweza kuwa ya
kiuchumi, kijamii, mogogoro ya nafsi, na migogoro ya kisiasa ambayo
hujitokeza katika mitazamo tofauti kulingana na mtiririko wa visa na
matukio yanavyopangwa na mwandishi. Riwaya ya “Pesa Zako Zinanuka” na
Ben Mtubwa imeonesha migogoro mbalimbali iliyojitokeza. Kwa mfano, kuna
mgogoro wa kijamii, huu unajitokeza baina ya watu au kikundi cha watu
katika jamii. Katika riwaya hii mgogoro huu unajitokeza kati ya Kandili
na Dora. Suluhisho la mgogoro ni kuwa Dora aliamua kuishi yeye peke yake
na mtoto wake wakipambana na maisha ya kila siku. Pia kuna mgogoro wa
nafsi, huu unajitokeza kati ya mtu na nafsi yake. Katika riwaya ya “Pesa
Zako Zinanuka” mgogoro huu unajitokeza kwa Dora na nafsi yake katika
uk.81 Kwa ujumla suluhisho la migogoro yote ni jamii kuwa na haki na
usawa kuondoa chuki, kuondokana na uvivu, kushirikiana katika kuwafichua
wale wanaotumia mali ya umma kwa kujinufaisha wenyewe. Ujumbe;
mwandishi anapoandika kazi yake huwa na ujumbe ambao hutaka uifikie
jamii aliyoikusudia. Ujumbe katika kazi fasihi ni mafunzo mbalimbali
ambayo hupatikana baada ya kusoma kazi ya fasihi. Katika kazi ya fasihi
dhamira kuu hubeba ujumbe wa msingi na dhamira ndogondogo hubeba ujumbe
ambao husaidia kuujenga au kuupa uzito zaidi ujumbe wa msingi. Msimamo;
katika kazi ya fasihi, mawazo, mafunzo na falsafa ya msanii hubainisha
msimamo wake kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii. Msimamo ni ile hali
ya mwandishi kuamua kufuata na kushikilia jambo fulani. Jambo hili
huweza kukataliwa na wengi lakini akalishikilia tu. Msimamo ndio huweza
kuwatofautisha wasanii wawili au zaidi wanaoandika kuhusu mazingira
yanayofanana. Kwa mfano, katika tamthilia ya “Pesa zako zinanuka”
mwandishi anamsimamo wa kimapinduzi kwani amejadili matatizo
yanayochangia kukwama kwa ujenzi wa jamii mpya. Pia anaonesha njia au
suluhisho la matatizo hayo. Matatizo hayo ni kama vile: uhujumu uchumi,
wivu, magendo, usaliti na mmomonyoko wa maadili. UHUSIANO WA FANI NA
MAUDHUI Fani na maudhui ni dhana mbili ambazo hazitenganiki. Kuna
mitazamo miwili ambayo inajaribu kutazama uhusiano wa fani na maudhui
katika kazi za fasihi andishi. Mitazamo hiyo ni ya kidhanifu na
kiyakinifu. Katika mtazamo wa kidhanifu wapo wataalam mbalimbali ambao
wametoa maelezo yao kuhusu uhusiano wa fani na maudhui katika kazi za
fasihi andishi. Tukianza na Bi. Materu, yeye anasema fani na maudhui ni
kama mwili na nguo hivyo anatoa maoni kuwa fani na maudhui ni dhana
ambazo zinaweza kutenganishwa kama vile mwili unavyoweza kutenganishwa
na nguo. Bi. Materu anasema maudhui ni mwili ambao ndilo umbo la ndani
la kazi ya fasihi, wakati nguo ndio fani ambayo ni umbo la nje la kazi
ya fasihi. Fauka ya hayo Mtaalam mwingine ni Penina Muhando (Mlama),
anasema kuwa fani na maudhui ni kama sahani na chakula. Sahani yaweza
kutengwa na chakula pale ambapo chakula hicho kitaondolewa. Penina
Muhando anasema, chakula ndio maudhui yaani umbo la ndani la kazi ya
fasihi na sahani ndio fani ambayo ni umbo la nje la kazi ya fasihi.
Hivyo yeye anaona kuwa fani na maudhui ni dhana mbili ambazo zinaweza
kutenganishwa na bila athari yoyote. Naye T. Sengho anasema kuwa fani na
maudhui ni kama chungwa na ganda, akiwa na maana kuwa chungwa ndio
maudhui na ganda ndio fani. Hapa T. Sengho anatoa msimamo kuwa fani na
maudhui vinaweza kutenganishwa bila ya athari, kwani chungwa linaweza
kutengwa na ganda lake. Mtaalam mwingine anayeegemea mtazamo wa
kidhanifu anasema kuwa fani na maudhui ni kama kikombe na chai. Huyu ni
Mtaalam F. Nkwera ambaye anasema kuwa chai ndio maudhui na fani ndio
kikombe. Hapa F. Nkwera anataadharisha kuwa chai inaweza kunywewa kwenye
kikombe na kikombe kubakia kitupu, hivyo fani yaweza kutengwa na
maudhui kama vile chai inavyoweza kutengwa na kikombe. Katika mtazamo wa
kiyakinifu, Senkoro anasema kuwa fani na maudhui ni sawa na sarafu.
Hapa anamaanisha kuwa fani na maudhui ni dhana mbili zisizoweza
kutenganishwa kama vile pande mbili za sarafu moja. Senkoro F. E. M. K.
anasisitiza kuwa fani na maudhui havitenganishiki bali hutegemeana ili
kazi ya fasihi iweze kuwa bora zaidi. Kazi ya fasihi ambayo maudhui
yamezidi fani huwa chapwa au fani ikizidi maudhui, kazi hiyo ya fasihi
huwa chapwa, hivyo maudhui na fani ni dhana ambazo hutemeana. Fani na
maudhui lazima vilingane na kushabihiana ili kazi yenyewe iweze kuwa
bora na yenye mvuto zaidi. Mtazamo mwingine unadai kuwa fani na maudhui
hulinganishwa na roho na mwili ambapo haiwezi kutenganishwa na mwili
kwani kwa kufanya hivyo athari itakayotokea ni kwamba mwili hautaweza
kufanyakazi ipasavyo pasipo roho. Vilevile tunaweza kufananisha fani na
maudhui kama gari na injini. Hii ni dhana ambayo inajidhihirisha kuwa
gari haliwezi kutenda bila injini, hivyo ni kuweza kuthibitisha kuwa
fani na maudhui ni dhana mbili zisizotenganishwa kwani huleta athari
zinapotenganishwa na vilevile fani na maudhui hutenda kazi pamoja.