CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA KITIVO CHA FANI NA SAYANSI ZA JAMII OSW 121: UTANGULIZI WA LUGHA NA ISIMU JARIBIO


TAREHE: 7, Februari 2011
MAELEKEZO:
  • Jibu jumla ya maswali MAWILI TU, moja kutoka kila sehemu.
SEHEMU A
1. Kwa kutumia mifano isiyopungua mitano kutoka lugha ya Kiswahili fafanua dhana ya mofimu
2. Silabi za Kiswahili sanifu hujitokeza katika miundo na mifumo tofauti. Fafanua miundo na                  mifumo hiyo kwa kutoa mifano tofauti.
SEHEMU B
3. Kwa kutumia mifano isiyopungua minne kwa kila kipengele fafanua dhana zifuatazo kama                 zinavyotumika katika fonolojia ya Kiswahili.
  (i) Toni
  (ii) Kiimbo
  (iii) Mkazo
  (iv) Silabi
4. Ukitoa mifano; linganisha kisha utofautishe kati ya:
   (a) Lahaja na lafudhi
   (b) Pijini na krioli
   (c) Lugha rasmi na lugha ya taifa
MWISHO
Powered by Blogger.