Wanaume wa Dar es Salaam Katika Kashfa Nyingine Tena Baada ya ile ya Panya Road

Mmoja wa Abiria Aliyoshambuliwa Juzi na Mtu Huyo kwenye Daladala Juzi nilireport hapa kuhusu Mtu mmoja aliyewachoma watu kwa kisu kwenye daladala jijini Dar es Salaam , Sasa leo nimesikiliza clip ya dada mmoja anaeelezea mtu alie choma watu kisu ndani ya Daladala. Eti wanaume watu wazima walikuwa wanakanyagana kukimbia.

Hadi mama mmoja jasiri alipo jitolea na kukishika kile kisu cha mvamizi hadi kikamkata vidole.Eti ndipo wanaume wakajitokeza.

Kweli jamani wanaume wa Dar! Hadi msaidiwe na kina mama!

Aibu iliyoje hii
Powered by Blogger.