JIPIME KIDATO CHA NNE
JAMHURI
YA MUUNGANO YA TANZANIA
MTIHANI
WA UTAMILIFU KIDATO CHA NNE
021
KISWAHILI
_________________________________________________________________
Maelekezo
1. Karatasihiiinasehemu
A, B, C, D na E.
2. Jibumaswaliyotekatikasehemu
A, B na D, swalimoja (1) kutokasehemu C namaswalimatatu (3) kutokasehemu E.
Swali la 15 ni la lazima.
3. Zingatiamaagizoyakilasehemu
nayakilaswali.
4. Simuzamkononihaziruhusiwi
katikachumba cha mtihani.
5. AndikaNambayakoyaMtihani
katikakilaukurasawakijitabuchako cha kujibia.
SEHEMU
A (Alama 10)
Jibumaswaliyotekatikasehemuhii.
UFAHAMU
1. Soma kifungu cha
habarikifuatachokishajibumaswaliyanayofuata:
KaribumasikioyawatuwamahalipengiyalijaahabarizaKaramanamashtakayake.
Umaarufu wake waghaflaulizungumzwakaribunambali.
Mtuyeyotewadesturianapozukakatikaumaarufu, huyavutamasikiona macho
yawatuwengikwasababujambokamahilihutokeanadrasanakwawatuambaobahatimbayaimeshughulikakuwawekanyuma.
Kwahiyo,
sikuyatatuyabarazailihudhuriwanamfalme, watuwenyevyeombalimbali,
pamojananusumojayaumatimkubwawaKusadikika.
Fikrazilizochanganyikaziliushikaumatihuu.BaadhiyawatuwalimwajabiaKaramawakamhesabukamamtu
bora wakarneyao.
HawawalitumainiataokokalakiniwenginewaliwazakuwaKaramaalikuwakamamjingaaliyekuwaakichezanahatarikubwailiyofunuatayambeleyake.
Waliokuwawakimtazamiakuokokawalikuwanawasiwasiwao; na wale
waliokuwawakimtazamiakuangukawalikuwanafadhaa yao.
Walakinihapanamtuhatammojaaliyepatakulisemawazo lake.
BilayakujuaalivyoajabiwaKaramaaliendeleakusemambeleyabaraza,
“Watuwanaoteswandiowanaoyajuamatesoyao.”Kusadikikailikuwachiniyamatesomakubwasana.
Maishayaoyalizungukwanamaradhinamauti, uaduiusiokwisha,
nchiiliyokaribiakugeukajangwanamwambanamadhilamenginemazitoyaliyowakabiliwatu.
Wanakusadikikawalitakafarajakatikamatesohaya.Kilajitihadailijaribiwailikuirekebishasaayamaendeleoyanchi,
lakinimarakwamaramajirayakeyalirudishwanyuma. Kama
hilililifanywakwamakosaamakwamakusudinisiriiliyong’amboyafahamuzanguhatasasa.
Lakinikamasirinjemahufichika, ileiliyombayahaifichikihatakidogo. Uchaguziwawajumbeulikuwakolakinimathibitishoyamatokeoyaujumbehayakupatikana.
Kusadikikailiishikuonamjumbebaadayamjumbekuadhiriwa nakuadhibiwavibaya. Kama
washaurihawakudhuriwanahililakiniwatuwenginewalidhuriwasana. Kazinjemazawajumbewawilizilipoteabure.Manung’unikoyalawamahiiyalikuwakatikahewayoteyaKusadikika.Hilililipotokeaserikaliiliombwaimafaimakufanyaujumbemwingine.BasimjumbewatatualitakikanaajitoleemwenyewekwaujumbewaKusini.
Witowamjumbewatatuuliitikiwana Kabuli; mtumwenyebusara, hayanamcheshi.
Yeyealipatikanaupesikabisakulikoilivyokuwakwamarayapilinaya kwanza.
MisibayaBuruhaninaFadhiliilikuwamikubwayakutoshakuikongoamioyoyabidiikatikabawabazake.
Kabuli
aliyajuahayayotelakinialikuwamtuwamoyowanamnanyinginekabisa. Alikuwanabidiikubwakamaileyasiafuathubutuyekukivukakijitokwadarajailiyofanywakwamaitiyasiafuwenginewalioeleamajinihukonahuko.
Majiyalijulikanakuwanaasiliyarutuba, mvukenaumeme.
Nguvunyinginezanamnambalimbalizipopiakatikamaji. Kama
siafumdudumdogonakipofuwakatimwinginehaogopikuzikabilinguvuhizopamojanahatarizakekwasababunjema,
basinidhahirikuwaviongoziwawanadamuwanapoteswaburebidiizawafuasiwaohutanukaajabu.
Hapanatishioliwezalokuukomeshamwendohuu.Kwahakikautafululizakuwakodunianimpakamatesoyakomekabisa,
nalabdawakatihuoduniahiiitakuwanjemakamaitamaniwavyokuwa.
BuruhaninaFadhiliwalitoasadakazao bora
ilikuyahimizamajilioyawakatiuliotakikanasana. Kabuli
aliwaonawatuwawilihawakamawafadhiliwakubwawaulimwengu.
Alitakakuwamshirikawaokwathamaniyoyoteyamaishayake. Kama ilijulikanavyo,
Kusininaupandewaduniayatokakomatufanimakubwanabaridi kali sana. Kabuli
aliyakabilimashakahayabilayakigeugeu.Naam,
alikuwakamamtualiyekuwaakinywauchungubilayakigegezi.Mara
mbilialikamatwaakafanywamahabusu.
Maswali
(a) Elezamaanayamanenoyafuatayokamayalivyotumikakatikakifungu
cha habari:
(i) Fadhaa
(ii) Madhila
(iii) Kuadhiriwa
(iv) Imafaima
(v) Kigeugeu
(vi) Kigegezi.
(b) ElezamchanganyikowafikirawalizonazowanawaKusadikikakuhusuKarama.
(c) KwaninibidiiyamjumbewaKusiniimelinganishwanabidiiyasiafu?
Toa sababumbili.
(d) Ujumbewamwandishiwakifunguhikiunahusunini?
2.
Fupishahabariuliyosomakatikaswali la kwanza kwamanenoyasiyopunguamiamoja
nahamsini
(150) nayasiozidimiambili (200).
SEHEMU B (Alama 25)
SARUFI NA UTUMIZI WA LUGHA
Jibumaswaliyotekatikasehemuhii.
3.
Fafanuautatauliopokatikasentensizifuatazo:
(a)
Mama anafurahiapango.
(b)
Mwalimuanalimabarabara.
(c)
Alimpigiangoma.
(d)
Kijanaamepatafomu.
(e)
Baba anaunda.
4. Tumianeno “Paa”
katikasentensikuundadhanazifuatazo:
(a)
Nomino
(b)
Kitenzi
(c)
Kielezi
(d)
Kivumishi
(e)
Shamirisho
5. Bainishamziziwaasilikwakilanenokatikamanenoyafuatayo:
(a)
Anawaandikisha
(b)
Mkimbizi
(c)
Mlaji
(d)
Muumbaji
(e)
Nisingelipenda
(f)
Kuburudika
(g)
Sadifu
(h)
Aliokota
(i)
Walichopoka
(j)
Kipambanuliwe
6.
Vibadilishevitenzivifuatavyoviwekatikakauliyakutendeka:
(a)
Badili
(b)
Kata
(c)
Komboa
(d)
Zuia
(e)
Fika
(f)
Zoa
(g)
Jenga
(h)
Remba
(i)
Tumia
(j)
Lima
7. Fafanuamaanayaneno
“chenga” kwakutumiasentensitanotofauti.
SEHEMU C (Alama 10)
UANDISHI
Jibuswalimoja
(1)kutokasehemuhii.
8. Andikainshayenyemanenoyasiopunguamiambili
(200) nayasiozidimiatatu (300) kuhusu
methaliisemayo “SamakiMkunjeangalimbichi”.
9. Wewenimwenyekitiwamtaaambaoumekumbwanamafurikolakiniwananchiwako
wanakataakuhamiamakazimapya.
Andaahotubautakayoitoakwawananchiwamtaawakoili
kuwashawishikuondokakatikasehemuhiyo.
Jina la mtaaniKwamachombonaeneo la
makazimapyalinaitwaKitivo.
SEHEMU D (Alama 10)
MAENDELEO YA KISWAHILI
Jibuswali la
kumi (10)
10. Kwakutumiahojatano,
fafanuajinsiutawalawaWaingerezaulivyoimarisha Kiswahili
nchini Tanzania kwakupitiamfumowaelimu.
SEHEMU E (Alama 45)
FASIHI KWA UJUMLA
Jibumaswalimatatu
(3)kutokakatikasehemuhii. Swali la 15 ni la lazima.
11. Kutokananamabadilikoyanayoikumbajamii,
baadhiyamethalizimepitwanawakati.
Thibitishahojahiyokwakutumiamethalisita.
12. “Ustadiwamsaniihudhihirishwanafani”.
Dhihirishakaulihiyokwakutumiavipengele
vitatuvyalughakwakiladiwanikutokakatikadiwanimbiliulizosoma.
13. Jadilikukubalikakwawahusikawawilikamakielelezohalisi
cha wanajamiikatiya
Takadini, Maman’tiliena Brown Kwacha
kutokakatikariwayambiliulizosoma. Toa hoja
tatukwakilamhusika.
14. “Kujengajamii bora nidhimayamwandishi.”
Thibitishakaulihiikwakutumiahojatatutoka
katikakilatamhtiliyakatiyatamthiliyambiliulizosoma.
15. Tungahadithiyoyoteinayosadifukisasili.
ORODHA
YA VITABU
Ushairi
Wasakatonge- M.S. Khatibu (DUP)
MalengaWapya- TAKILUKI (DUP)
MashairiyaChekacheka -T.A. Mvungi (EP & D.LTD)
Riwaya
Takadini - Ben J. Hanson (MBS)
WatotowaMaman’tilie - E.
Mbogo (H.P)
Joka la Mdimu - A.J.Safari (H.P.)
Tamthiliya
Orodha
- Steve Reynolds (MA)
NgoswePenziKitovu cha Uzembe - E.
Semzaba (ESC)
KilioChetu- Medical Aid Foundation (TPH)
|
|
|
|
|
|