FASIHI SIMULIZI YA KISWAHILI NA KIAFRIKA
UHUSIANO WA FASIHI SIMULIZI NA TAALUMA NYINGINE.
Fasihi
Simulizi haipo katika upweke au Ombwe bali inahusiana na taaluma mbali mbali ii
ni kutokana na ukongwe wake yaani dhima, sifa zake, utendaji wake n.k. infanya
ihusiane na taaluma ningine miongoni mwa taaluma hizo ni mziki, soshologia
historia, aksolojia, Isimu na lugha, Ethiolojia hata faihi andishi.
UHUSIANO WA FASIHI SIMULIZI NA MZIKI
i)
Mziki
ni nini? Au ni vitu gani vinafanya
utabue huu ni mziki?
ii)
Historia,
ni taaluma inayochunga matukio kisayansi ya wakati uliopita na uliopo.
Ni taaluma inayoshughulika na uchunguzi wa
maisha ya binadamu ambayo yanatuwezesha kujua maendeleo ya mabadiliko ya
binadamu.
Fasihi
Simuliziina nafasi kubwa katika historia ya binadamu kwa kupitia baadhi ya
vipera vya fasihi simulizi. Hivyo Fasihi
Simulizi inatusaidia kuelewa historia yetu ( ya jamii fulani Mfano: kupitia nyimbo kama vile za vita.
Mfano
:Tenzi baadhi ya tenzi za Kiswahili zinazungumzia mashujaa wa Afrika. Mfano:
Fumo Liyongo kujua mtazamo wa jamii husika katika kipindi Fulani cha
kihistoria .
Wanahistoria
pia wamechota baadhi ya mambo yao kutoka katika fasihi simulizi.Data za fasihi
simulizi zinassaidia kujenga rekodi za kihistoria .
Vipera
mbali mbali kama Tendi visakale ,Tarihi, Shajari n.k. vinatusaidia kuelewa
historia ya jamii japo kwa kiasi kidogo kuhusu matukio ya watu au mashujaa
katika jamii hiyo.
Suala
la utendaji /hutofauti wa vipera vya
fasihi simulizi zamani na sasa vinaweza kutusaidia kuelewa historia ya jamii
fulani.
Fasihi
Simulizi inasaidia kuhifadhi na kuendeleza historia katika jamii. Mfano:
Majigambo.
iii)
Sosholojia
(elimu jamii) / Athropolojia
Ni
tuhuma inayochanganya jamii kisayansi ili kujua mienendo yake na njugu mbali
mbali zinazo ongeza jamii hiyo.
Vipengele
hivi tunavipata katika sosholojia na vinatusaidia kuelewa namna ambayo vinaweza kuzua mienendo.
Hivyo
Fasihi Simulizi tangu hapo mwanzo inatusaidia kujua hiyo mienendo au mifumo
mbali mbali ya jamii, kipera kinaweza kuwa chombo cha kutetea utabaka au
kuchochea utabaka.
Fasihi
Simulizi kilikuwa chombo pekee cha kuwasilisha maadili ya jamii kupitia vipera
kama vile kitendawili au nyimbo kupitia fasihi simulizi tunaweza kurithishwa
utamaduni, mila na desturi za jamii hiyo.
Taarifa
za kisosholojia pia zinaweza upatikana katika kazi za kifasihi. Mienendo mabadiliko mifumo ya kiuchumi na
kijamii inapatikana kwa kurejelea kazi za fasihi simulizi.
iv)
UTAMADUNI (
UHUSIANO A FASIHI SIMULIZI)
Utamaduni
unapatikana katika Fasihi Simulizi . Fasihi Simulizi ni chombo kizuri cha
kurithisha utamaduni wa jamii husika, huthihirika kupitia utendaji wake katika
baadhi ya upengele kama vile : - Maleba (mavazi)
- Utendaji
- Mazingira ya utendaji
- Vifaa
- Fani
husika
Hivyo
uhusiano kati ya Fasihi Simulizi na utamaduni pia upo katika lugha kwani
Fasihi Simulizi ipo
katika kila hatua ya maisha yetu.
v)
ETHIOLOJIA – KUHUSU DINI
Fasihi Simulizi pia inatumika katika dini
kama vile nyimbo na maandiko ya kidini ambayo yanaweza kuwa hadithi, nyimbo
ambazo zino katika biblia.
Mfano:-Utenzi wa Sudiata, Utenzi Rukiza
vi)
Fasihi Andishi
Uhusiano kati ya Fasihi Simulizi na Fasihi
Andishi utafiti unaonyesha kuwa tanzu karibu zote za Fasihi Andishi zimetokana
na Fasihi Simulizi.
- Vipera
-
Matumizi ya lugha
Vitu hivi vinaleta athari kubwa katika
(i)
Tamthiliya
- Fomula za Fasihi Simulizi
Mfano: - Lina ubani, jogoo kijijini
(ii)
Riwaya
(iii)
Ushairi
(iv)
Hadith
fupi
Pia kuna mianzo maalumu katika tamthiliya
kuna fomula za kiadithi
Mfano: - Niendelee nisiendelee
Vile vile matumizi ya wahusika wanyama,
ndege, mizimwi, majitu.
Tanzu za Fasihi
Simulizi) kama vile Hadithi, ngano, nyimbo, n.k. Pia katika
mashairi kuna
utambaji, malumbano na vipera vingine.
SUALA LA UTENDAJI KATIKA FASIHI SIMULIZI
Katika Fasihi Simulizi utendaji ni
utii wa mgonyo yaani ni suala la msingi.
Mulokozi (1996 :24) Fasihi Simulizi ni tukio na lina fungamana na
matukio ya kijamii na hutawaliwa na fanani (msanii au mtendaji) Fanani, huyu ndiye mwasilishaji na mtunzi wa
kipera. Fani husika kwa hadhira katika
muktadha wa tukio fulani, kazi yake yaweza kuwa kichani au atatunza papo kwa
papo.
huangalia uzuri na
ubaya.
Tukio - ni shughuli yoyote ya kijamii ambayo
ndio muktadha wa utendaji mfano: Msiba,
Ibada, Harusi, Sherehe n.k.
Mahali - eneo mahususi ambapo sana hiyo
inatendwa
Wakati - muda
amaalumu au majira maalumu ya utendaji vipera vingi
vina wakati wake
Mfano : Sifa huimbwa wakati wa kuomba mwingiliano
huu wa vipengeli hivi
ndiyo unaoamua fani
hiyo iwasilishwe vipi.
OKPEWHO (1992) “anasema” Utendaji unatofautiana kutokana na sababu
mbeli mbali
kama vile
mfano Ngoma
Pia utendaji unatokana au unatawaliwa na dhima
– tukio ya kipera husika.
Muktadha wa uwasilishaji na namna ya uwasilishaji hutegemea dhina ya
kipera katika jamii.
husikumwa na muda na mahali. Mfano – Matambiko yanafanywa muda gani
kipera husika
kinachotendwa.
huathiri utendaji
wa vipera husika.
Mfano - Mavazi (maleba, mavazi maalum ya
kisanaa) yaani kipera hiki
kinahitaj aina ipi
ya maleba
nani.
Swali:Hivyo utendaji ni nini?
Muluka (1999) -Utendaji ni
uwasilishaji wa hadhithi au ngano
unaofanywa na msanii kwa hadhira kwa kutumia mdomo na kuumbatana na matendo ya
viungo mbali mbali vya mwili na ishara uso.
Hivyo kila kipera kipo kwa ajili ya kutwa
UTENDAJI KATIKA VIPERA MBALI MBALI
a) MASIMULIZI
Vipera vyake; ngano, visasili, Tarihi
Hadithi / Ngano.
Finegan (1970) “Oral literature in Africa” katika utendaji
kuna kanuni maalum, jamii nyingi zina utamaduni wake. Hadithi ni utanzu muhimu katika jamii za kiafrika. Hadithi ni utanzu wa jioni na mtambaji
anazungukwa.
Je kwanini hadithi inatambwa jioni?
fulani wa utendaji
wa hadithi hiyo.
Ufalaguzi:
Ni uwezo ambao fanani anao katika kuunda kutunga kugeuza na kuiwasilisha
kazi ya Fasihi Simulizi papo kwa papo bila ya kujifunza na muundo asilia au na
muundo uliozoeleka .
Hivyo katika utendaji wa kipera fulani kuna
utungaji mpya kutokana na mbinu fulani unazozitumia.
SIFA ZA FANANI BORA
anachotamba.
vile nahau, semi
n.k.
UTENDAJI WA K IPERA CHA SEMI
1.
METHALI
Ni
usemi mfupi wa kimapokeo unadokeza majumbo mazito au fikra zinazotokana na
uzoefu wa jamii husika.Katika utendaji unaweza tofautiana na vipera vingine
kwani utendaji wa methali lazima unajitegemeza wakati wa kutenda fani nyingine,
mfano mkutano, maongezi ya kawaida mjadiliano, hadithi katika kumkanya mtu.Kimsingi
watambaji wa methali ni watu wazima (wazee) kutokana na kuishi kwao k atika
jamii kwa muda mrefu.
2. VITENDWILI
Utendaji
wake si tegemezi kama methali bali kinasimama chenyewe kwa kufuata kanuni
zilizowekwa na jamii husika.
Mme
3. MAJIGAMBO
Jamii
ya Wahaya ni jamii ambayo maarufu kwa majigambo huu ni utafiti wa
kitaaluma. Mfano Rubanza (2004), Method
jamaa hawa wote wameangalia jinsi ya Wahaya.Katika jamii ya Wahaya majigambo
yalikuwa na muktadha wake maalum walikuwa wanatamba mbele ya mtemi kabla ya
kwenda vitani, baada ya kurudi toka vitani harusi n.k.
Ø Kwa Wahaya mjigambi
huhigamba mbele ya watu, sherehe ambayo inahudhuriwa na Mtemi na kuna namna ya
kuanza (wanajitambulisha kwa kujigamba) pia kuna namna ya umalizaji.
Ø Unaweza kumaliza
kwa kutoa heshima kwa Mtemi au kiongozi aliyepo pale.
Lugha
Ø Katika majigambo,
mjigambi yupo hum kutumia lugha ya kujikweza.
Ø Kuna maleba yaani
mavazi maalumu, mfano katika kujigamba wanavaa kanzu ndefu, pia hushika silaha
kama mkuki, panga n. k.
Ø Pia majigambo
huambatana na ngoma yenye mapigo ya pekee, na
maandamano ya namna fulani.
Ø Katika majigambo
kuna zawadi, shujaa aliyeshinda au aliyrudi toka
kuwinda, vitani
n.k. hupewa zawadi kama pombe.
Ø Wale walioenda
vitani au kuwinda wakashindwa zawadi yao ilikuwa maji
ya kunywa na kinyesi cha ng’ombe. Hii ilikuwa inaleta umakini kwani kurudi na
kinyesi ilikuwa ni aibu.
Miaka
ya 1960 utendaji wa majigambo uliathiriwa sana kutokana na mabadiliko ya kijamii na kiutawala.
>>>>>>>>>>INAENDELEA>>>>>>>>>>>>