ENDLESS LOVE..............PENZI LISILO NA MWISHO. SEHEMU YA 57.............. #EPISODE_57 MTUNZI.............KENDRICK LINCOLN JR. ILIPOISHIA... Akaipaka mate dunguso yake ambayo ilikua imekasirika balaa kama vile haijapata chakula kwa muda mrefu.Akamuweka vizuri Ilham ambaye alikua bado muoga muoga kutokana na kutofanya sana mapenzi.Akaipeleka dunguso yake kwenye naniliu ya Ilham na kuanza kuiingiza taratibu na kumuona Ilham akifumba macho huku akiwa kama anarudi rudi nyuma... SONGA NAYO... Akaiingiza dunguso yote ambapo alisikia Ilham akitoa sauti tamu iliyoyafanya masikio yake yapate burudani ya kutosha.Akaanza kupiga surundaka za taratibu huku akiwa amemshika Ilham vizuri kwenye kiuno chake.Kadri alivyozidi kuhisi utamu ndio alivyozidi kupiga surundaka za haraka haraka hali iliyomfanya Ilham apige makelele kama vile anatolewa roho.Ally hakujali akazidi kumpelekea moto wa nguvu hadi Ilham akaanza kutokwa machozi kama vile kawekewa pilipili ya machoni.Akambadilisha mkao mwengine na kuendelea kumpelekea moto wa kufa mtu hadi akafanikiwa kumfikisha Ilham mwisho wa safari yake.Akazidisha moto na baada ya muda akajihisi kutaka kuvunja dafu lake ambapo alikua amekunja sura kama vile amekanyaga sindano. Baby please,chomoa, ichomoe haraka usinimwagie ndani.Aliongea Ilham kwa shida sana kwani mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi kama ametoka kukimbizwa. Kweli Ally akaichomoa mashine yake na kummwagia Ilham tumboni huku akiwa anahisi utamu wa hali ya juu.Alipomaliza akajitupa pembeni akiwa amechoka hoi kutokana na ule moto mzito aliokua anampelekea Ilham. Walikaa kimya kwa muda kisha Ally akampa pole Ilham kutokana na ile shughuli aliyotoka kumpa. Mmmh yani baby kama umetoka jela leo kwa jinsi ulivyonifanya kwa nguvu. Hamna baby ny*g* zilinizidi sana leo ndio maana nimekua hivi,vipi lakini sijakuumiza. Mmmh yani naniliu yote hapa inawaka moto. Pole sana baby mara nyengine nitafanya taratibu. Waliendelea kuongea mambo mengi huku Ilham akiendelea kumsisitiza Ally kuwa asimuache kwani atamuachia kidonda kikubwa sana maishani mwake.Ally akamuahidi kutomuacha na kusema kuwa atampenda kwa maisha yake yote. Wakati wanaendelea kuongea Ally alisikia simu yake inaita na alipoenda kuiangalia akaona Recho ndio anampigia.Akamtazama Ilham na kumpa ishara kuwa akae kimya kisha akaipokea huku akiwa na wasiwasi sana.Akaipokea na kusalimiana nae kisha Recho akamwambia. "Yani baby ninavyokwambia mpaka muda huu hakuna siri tena" Mmh!hakuna siri tena? unamaanisha nini? "Mama ameshajua kuwa mimi ni mjamzito" Ooh my God! imekuaje sasa mpaka akajua na sisi tulipanga hadi mipango ya ndoa ikianza ndio tumwambie? Yani hata sijui ila nilishangaa leo baada ya kula chakula cha usiku aliniita na kuniomba nimwambie ukweli kama nina ujauzito au sina" Kwahiyo wewe ukakubali tu kirahisi. Sasa ningefanyaje Ally?Hivi unadhani hata ningemdanganya ndio asingekuja kujua? Mmhh!Okay kwahiyo amesemaje? Amenigombesha sana na kunisema ila nimejaribu kumuelewesha kuwa ni bahati mbaya tu sisi hatukupanga iwe hivi.Ila amesema anataka haraka mipango ya ndoa ianze kwani hataki kuona mimba ikiendelea kukua nikiwa bado nipo nyumbani. Dah!Ila hakijaharibika kitu.Kesho inabidi tuonane ili tupange vizuri kitu cha kufanya maana hamna tena muda wa kupoteza. Recho aliweza kumuelewa kisha wakaagana na kukata simu. "Mmhh kumbe mwenzangu siku sio nyingi unaitwa baba".. Aliongea Ilham huku akiwa anamtazama Ally. Ally alibaki kimya kwa muda akiwa anatazama chini kisha akamsogelea Ilham na kumwambia. I'm sorry Ilham,i'm really sorry kwa kutokukutaarifu haya mapema hadi umenisikia muda huu ninavyoongea na Recho. Ilham alikaa kimya na baada ya muda bila kutegemea akamuona Ilham akianza kuangusha kilio kama vile ameletewa taarifa za msiba. Vipi tena mpenzi mbona unalia? Ina maana Ally mambo yote haya tunayofanya kumbe unanichezea tu?Kwanini lakini unanifanyia hivi kama ungekua haunitaki si ungeniambia mapema tu ningekua nifanye nini. Ally alijiona mkosefu sana na ilibidi ampigie magoti Ilham ili kumuomba msamaha. No!sikua na maana hiyo mpenzi naomba unisamehe.Kila kitu kimetokea kama ajali tu na wala sikupanga kumpa Recho mimba. Sawa hukupanga kumpa mimba ni bahati mbaya,je hayo mambo ya kuoana nayo ni bahati mbaya? Ally akabaki kimya akiwa hajui hata amjibu nini Ilham kwani tayari alikua amekwishamkosea kwa kiasi kikubwa sana.Ilham aliendelea kulia kwa muda mrefu na ilibidi Ally amsogelee karibu zaidi ili angalau ajaribu kumbembeleza kama atamuelewa.Akajitahidi kumwambia maneno mengi sana ya kumfariji pamoja na kumwambia kuwa atawaoa wote yani yeye na Recho lakini Ilham hakumuelewa kabisa. Please naomba niondoke Ally siwezi tena kuendelea kukaa hapa. Sasa usiku wote huu unaenda wapi Ilham. Niache ninapokwenda napajua mwenyewe wewe hapakuhusu. Ally alijitahidi sana kumbembeleza lakini Ilham hakumsikiliza kabisa kwani alivaa nguo zake na kisha akaanza kutoka mule chumbani. Basi subiri nivae nikupeleke nyumbani maana sasa hivi ni usiku sana kwenda wewe mwenyewe itakua sio vizuri. Nimesema niache ninapokwenda wewe hapakuhusu na wala sitaki kusindikizwa. Ally akajua kweli amemuumiza Ilham kwani tangu amjue hakuwahi kumsikia akiongea maneno kama yale tena kwa ukali kiasi kile.Ilham akatoka mule chumbani na kuondoka zake huku akiwa amekasirika sana.Ally akabaki akiwa na mawazo sana na kuanza kujuta kwanini ameanzisha mahusiano na wasichana wote wale watatu halafu kibaya zaidi sio kama alikua anazuga tu,wote alikua anawapenda japokua Recho ndio alikua anampenda sana yani kwake ndio kila kitu.Aliendelea kuwaza hadi akapitiwa na usingizi usiku sana bila yeye mwenyewe kujitambua. ***************** ***************** Baada ya siku kadhaa Ally akampeleka nyumbani kwao Recho kwa ajili ya kumtambulisha kwa baba yake na kaka yake. Baba huyu ndio girlfriend wangu anaitwa Recho nilisoma nae chuo TIA na ndio tulikutana huko huko na kuanzisha mahusiano. Ooh!nashukuru sana kumfahamu,karibu sana binti jisikie upo nyumbani kwenu kabisa. Asante sana baba.Alijibu Recho kwa sauti ya upole kabisa huku akionyesha kuwa na heshima sana. Kwahiyo mmepanga kuoana lini? Yani wakati wowote kuanzia sasa maana kama nilivyokwambia kuwa tayari Recho ni mjamzito kwahiyo haitapendeza akiendelea kukaa kwao. Aaha sawa nimekuelewa umeongea point sana mwanangu.Basi ngoja sisi tujipange mimi pamoja na mjomba wako Azizi tupeleke barua maana leo ameshindwa kuja kwa sababu yupo safarini kikazi ila mpaka keshokutwa atakua amesharudi. Sawa baba nimekuelewa nitashukuru sana. Waliongea mambo mengi sana huku pia Recho akipata kufahamiana na kaka yake Ally anayeitwa Rashidy maana siku zote alikua akiishia kumuona kwenye picha tu.Baada ya kuongea sana Sarah akawaandalia chakula kisha wote wakaelekea mezani.Walikula huku wakiongea mambo mbalimbali ya kifamilia hususani mambo ya harusi yao jinsi itakavyokua.Walipomaliza Recho aliwashukuru sana kisha akawaaga kuwa anarudi nyumbani.Baba yake Ally na kaka yake walifurahi sana kumfahamu na wakamkaribisha tena pale nyumbani. Sasa baba ngoja nimpeleke kwao mara moja nitarudi baadae. Ok my son take care.(sawa mwanangu, kuwa mwangalifu) Don't worry dady,i will.(Usijali baba, nitakua) Ally aliondoka na Recho kwa ajili ya kumrudisha nyumbani kwao tabata. Baada ya wiki moja Ally akaanza kununua furniture pamoja na vitu mbalimbali kwa ajili ya nyumba yake maana ukarabati ulikua tayari umekwishakamilika.Alijitahidi kununua vitu vingi sana huku vyengine akisubiri maagizo ya Recho maana alijua kuwa yeye ndio atakua mama m





ENDLESS LOVE..............PENZI LISILO NA MWISHO.
SEHEMU YA 57.............. #EPISODE_57
MTUNZI.............KENDRICK LINCOLN JR.
ILIPOISHIA...
Akaipaka mate dunguso yake ambayo ilikua imekasirika balaa kama vile haijapata chakula kwa muda mrefu.Akamuweka vizuri Ilham ambaye alikua bado muoga muoga kutokana na kutofanya sana mapenzi.Akaipeleka dunguso yake kwenye naniliu ya Ilham na kuanza kuiingiza taratibu na kumuona Ilham akifumba macho huku akiwa kama anarudi rudi nyuma...
SONGA NAYO...
Akaiingiza dunguso yote ambapo alisikia Ilham akitoa sauti tamu iliyoyafanya masikio yake yapate burudani ya kutosha.Akaanza kupiga surundaka za taratibu huku akiwa amemshika Ilham vizuri kwenye kiuno chake.Kadri alivyozidi kuhisi utamu ndio alivyozidi kupiga surundaka za haraka haraka hali iliyomfanya Ilham apige makelele kama vile anatolewa roho.Ally hakujali akazidi kumpelekea moto wa nguvu hadi Ilham akaanza kutokwa machozi kama vile kawekewa pilipili ya machoni.Akambadilisha mkao mwengine na kuendelea kumpelekea moto wa kufa mtu hadi akafanikiwa kumfikisha Ilham mwisho wa safari yake.Akazidisha moto na baada ya muda akajihisi kutaka kuvunja dafu lake ambapo alikua amekunja sura kama vile amekanyaga sindano.
Baby please,chomoa, ichomoe haraka usinimwagie ndani.Aliongea Ilham kwa shida sana kwani mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi kama ametoka kukimbizwa.
Kweli Ally akaichomoa mashine yake na kummwagia Ilham tumboni huku akiwa anahisi utamu wa hali ya juu.Alipomaliza akajitupa pembeni akiwa amechoka hoi kutokana na ule moto mzito aliokua anampelekea Ilham.
Walikaa kimya kwa muda kisha Ally akampa pole Ilham kutokana na ile shughuli aliyotoka kumpa.
Mmmh yani baby kama umetoka jela leo kwa jinsi ulivyonifanya kwa nguvu.
Hamna baby ny*g* zilinizidi sana leo ndio maana nimekua hivi,vipi lakini sijakuumiza.
Mmmh yani naniliu yote hapa inawaka moto.
Pole sana baby mara nyengine nitafanya taratibu.
Waliendelea kuongea mambo mengi huku Ilham akiendelea kumsisitiza Ally kuwa asimuache kwani atamuachia kidonda kikubwa sana maishani mwake.Ally akamuahidi kutomuacha na kusema kuwa atampenda kwa maisha yake yote.
Wakati wanaendelea kuongea Ally alisikia simu yake inaita na alipoenda kuiangalia akaona Recho ndio anampigia.Akamtazama Ilham na kumpa ishara kuwa akae kimya kisha akaipokea huku akiwa na wasiwasi sana.Akaipokea na kusalimiana nae kisha Recho akamwambia.
"Yani baby ninavyokwambia mpaka muda huu hakuna siri tena"
Mmh!hakuna siri tena? unamaanisha nini?
"Mama ameshajua kuwa mimi ni mjamzito"
Ooh my God! imekuaje sasa mpaka akajua na sisi tulipanga hadi mipango ya ndoa ikianza ndio tumwambie?
Yani hata sijui ila nilishangaa leo baada ya kula chakula cha usiku aliniita na kuniomba nimwambie ukweli kama nina ujauzito au sina"
Kwahiyo wewe ukakubali tu kirahisi.
Sasa ningefanyaje Ally?Hivi unadhani hata ningemdanganya ndio asingekuja kujua?
Mmhh!Okay kwahiyo amesemaje?
Amenigombesha sana na kunisema ila nimejaribu kumuelewesha kuwa ni bahati mbaya tu sisi hatukupanga iwe hivi.Ila amesema anataka haraka mipango ya ndoa ianze kwani hataki kuona mimba ikiendelea kukua nikiwa bado nipo nyumbani.
Dah!Ila hakijaharibika kitu.Kesho inabidi tuonane ili tupange vizuri kitu cha kufanya maana hamna tena muda wa kupoteza.
Recho aliweza kumuelewa kisha wakaagana na kukata simu.
"Mmhh kumbe mwenzangu siku sio nyingi unaitwa baba".. Aliongea Ilham huku akiwa anamtazama Ally.
Ally alibaki kimya kwa muda akiwa anatazama chini kisha akamsogelea Ilham na kumwambia.
I'm sorry Ilham,i'm really sorry kwa kutokukutaarifu haya mapema hadi umenisikia muda huu ninavyoongea na Recho.
Ilham alikaa kimya na baada ya muda bila kutegemea akamuona Ilham akianza kuangusha kilio kama vile ameletewa taarifa za msiba.
Vipi tena mpenzi mbona unalia?
Ina maana Ally mambo yote haya tunayofanya kumbe unanichezea tu?Kwanini lakini unanifanyia hivi kama ungekua haunitaki si ungeniambia mapema tu ningekua nifanye nini.
Ally alijiona mkosefu sana na ilibidi ampigie magoti Ilham ili kumuomba msamaha.
No!sikua na maana hiyo mpenzi naomba unisamehe.Kila kitu kimetokea kama ajali tu na wala sikupanga kumpa Recho mimba.
Sawa hukupanga kumpa mimba ni bahati mbaya,je hayo mambo ya kuoana nayo ni bahati mbaya?
Ally akabaki kimya akiwa hajui hata amjibu nini Ilham kwani tayari alikua amekwishamkosea kwa kiasi kikubwa sana.Ilham aliendelea kulia kwa muda mrefu na ilibidi Ally amsogelee karibu zaidi ili angalau ajaribu kumbembeleza kama atamuelewa.Akajitahidi kumwambia maneno mengi sana ya kumfariji pamoja na kumwambia kuwa atawaoa wote yani yeye na Recho lakini Ilham hakumuelewa kabisa.
Please naomba niondoke Ally siwezi tena kuendelea kukaa hapa.
Sasa usiku wote huu unaenda wapi Ilham.
Niache ninapokwenda napajua mwenyewe wewe hapakuhusu.
Ally alijitahidi sana kumbembeleza lakini Ilham hakumsikiliza kabisa kwani alivaa nguo zake na kisha akaanza kutoka mule chumbani.
Basi subiri nivae nikupeleke nyumbani maana sasa hivi ni usiku sana kwenda wewe mwenyewe itakua sio vizuri.
Nimesema niache ninapokwenda wewe hapakuhusu na wala sitaki kusindikizwa.
Ally akajua kweli amemuumiza Ilham kwani tangu amjue hakuwahi kumsikia akiongea maneno kama yale tena kwa ukali kiasi kile.Ilham akatoka mule chumbani na kuondoka zake huku akiwa amekasirika sana.Ally akabaki akiwa na mawazo sana na kuanza kujuta kwanini ameanzisha mahusiano na wasichana wote wale watatu halafu kibaya zaidi sio kama alikua anazuga tu,wote alikua anawapenda japokua Recho ndio alikua anampenda sana yani kwake ndio kila kitu.Aliendelea kuwaza hadi akapitiwa na usingizi usiku sana bila yeye mwenyewe kujitambua.
***************** *****************
Baada ya siku kadhaa Ally akampeleka nyumbani kwao Recho kwa ajili ya kumtambulisha kwa baba yake na kaka yake.
Baba huyu ndio girlfriend wangu anaitwa Recho nilisoma nae chuo TIA na ndio tulikutana huko huko na kuanzisha mahusiano.
Ooh!nashukuru sana kumfahamu,karibu sana binti jisikie upo nyumbani kwenu kabisa.
Asante sana baba.Alijibu Recho kwa sauti ya upole kabisa huku akionyesha kuwa na heshima sana.
Kwahiyo mmepanga kuoana lini?
Yani wakati wowote kuanzia sasa maana kama nilivyokwambia kuwa tayari Recho ni mjamzito kwahiyo haitapendeza akiendelea kukaa kwao.
Aaha sawa nimekuelewa umeongea point sana mwanangu.Basi ngoja sisi tujipange mimi pamoja na mjomba wako Azizi tupeleke barua maana leo ameshindwa kuja kwa sababu yupo safarini kikazi ila mpaka keshokutwa atakua amesharudi.
Sawa baba nimekuelewa nitashukuru sana.
Waliongea mambo mengi sana huku pia Recho akipata kufahamiana na kaka yake Ally anayeitwa Rashidy maana siku zote alikua akiishia kumuona kwenye picha tu.Baada ya kuongea sana Sarah akawaandalia chakula kisha wote wakaelekea mezani.Walikula huku wakiongea mambo mbalimbali ya kifamilia hususani mambo ya harusi yao jinsi itakavyokua.Walipomaliza Recho aliwashukuru sana kisha akawaaga kuwa anarudi nyumbani.Baba yake Ally na kaka yake walifurahi sana kumfahamu na wakamkaribisha tena pale nyumbani.
Sasa baba ngoja nimpeleke kwao mara moja nitarudi baadae.
Ok my son take care.(sawa mwanangu, kuwa mwangalifu)
Don't worry dady,i will.(Usijali baba, nitakua)
Ally aliondoka na Recho kwa ajili ya kumrudisha nyumbani kwao tabata.
Baada ya wiki moja Ally akaanza kununua furniture pamoja na vitu mbalimbali kwa ajili ya nyumba yake maana ukarabati ulikua tayari umekwishakamilika.Alijitahidi kununua vitu vingi sana huku vyengine akisubiri maagizo ya Recho maana alijua kuwa yeye ndio atakua mama mwenye nyumba hivyo angeelewa vizuri vitu vinavyohitajika humo ndani.
Wakati bado yupo kwenye nyumba yake akiwa anapanga panga vitu akisaidiana na rafiki zake walioenda kumpa kampani,alisikia simu yake inaita na alipoiangalia akaona Ilham ndio anampigia.Akasogea pembeni ili wale wengine wasimsikie maongezi yake kisha akaanza kuongea naye.....JE NINI KITAENDELEA?
Usikose kufuatilia sehemu ya 58..
Powered by Blogger.