Jaribio La Kiswahili

1. Fanya maswali yote 4
 
2. Kila swali alama 2
 
  1. Kwa nini  Waingereza waliunda kamati ya lugha ya Kiswahili mwaka 1930 (Toa mifano).
  1. Eleza matatizo yanayokumba vyama vya kukuza na kuendeleza Kiswahili na toa ufumbuzi wake (Toa mifano ya vyama ).
  1. Taja na kasha eleza kwa kifupi njia zinazotumika kuunda msamiati wa Kiswahili sanifu (T0a mifano).
  1. Kiswahili si kiarabu wala kikongo. Kwa kutumia mifano jadili. 

    2. MWISHO
Powered by Blogger.