SEMANTIKI



 
4Seni, Daniel John/ An ordained pastor at Shekinah Presbyterian Church (T) Madale-/DSM. Contacthim through +255769080629/+255786684062 or senishekinah@gmail.com4
zinazokibainisha kitu hicho. Nduni hizo baininifu katika taaluma ya semantiki huitwa
vijenzisemantiki 
. Kwa mfano maana ya neno.+mtu+mtu mzima+ke-me+mtu+mtu mzima+me-ke
MAANA DOKEZI (CONNOTATIVE MEANING)
Hii ni maana ambayo hudokezwa na kile kisemwacho na kuwakilishwa na kinacholejelewa nalugha. Maana hii inapatikana kwa njia ya kitu fulani kuwakilisha au kudokeza kitu fulani kingineau hali nyingine.Maana dokezi hutokana/huibuliwa na sifa kuu tatu:-i)
 
sifa za kiumbo za kitu.
Hapa kinachoangaliwa ni umbo la kile kitu. Umbo hilohuchukuliwa kukitofautisha na kitu kingine. Kwa mfano:Mwanamke +matiti+ujauzito+miondokoii)
 
sifa za kisaikolojia (mtu mwenyewe anavyojichukulia)-
 Yaani hapakinachoangaliwa zaidi ni ile hali ya kile kitu kisaikolojia (kwa ndani zaidi) kwamfano:Mwanamke. huruma+ Upendoiii)
 
Mtazamo wa watu kuhusu kitu hicho.
 Yaani nini mtazamo wa watu wengikuhusu kitu hicho. Kwa mfano jamii inaamini kwamba:-Mwanaume +Jasiri+nguvu nkHivyo basi maana hizi zote zinategemea muktadha wa usemaji. Maneno hayayakiwa pwekepweke huwezi kuyatolewa maana iliyokusudiwa.
MAANA YA KIMTINDO (STYLISTIC MEANING)
Maana hii huhusiana na muktadha wa matumizi ya lugha. Mitindo hiyo ni pamoja na: Mitindo
ya kilahaja, Mitindo ya kiwakati, Mitindo ya kieneo/kitaaluma/fani fulani. Mfano ‗fahamu‘ ,
Mitindo ya kiuwasilishaji, Mitindo ya kihadhi na Mitindo ya binafsi
MAANA HISIA (EFFECTIVE MEANING)
Maana hii inategemeana na inahusiana na hisia na mtazamo wa msemaji au mwandishi. Nayohuwakilishwa kwa njia nyingi. Baadhi ya njia hizo ni:-
MwanamkeMwanamume
 
5Seni, Daniel John/ An ordained pastor at Shekinah Presbyterian Church (T) Madale-/DSM. Contacthim through +255769080629/+255786684062 or senishekinah@gmail.com5
Kwa kutumia maana ya msingi/dokezi. Kwa mfano ‗wewe ni mwanaume kweli kweli
-yaanijasiri, shujaa nk. Au acha kulia lia kama mwanamke bwana!Kwa kutumia njia isiyo ya moja kwa m
oja. Kwa mfano ‗hongera, naona leo umewahi kwelikweli‘
-
huku akimaanisha amechelewa‘
 Maana hisia mara nyingi hubadilika kutegemea kiimbo hata kama maneno ni yale yale. Kwa
mfano neno ‗mpole‘
 
MAANA TANGAMANI
Hii ni maana inayopatikana kutegemeana na muktadha wa matumizi kwa kuzingatia maeneomawili au zaidi yanayotangamana, yaani yanayokubali kutumiwa pamoja ili yalete maana moja.Kwa maneno mengine maneno hayo ni maneno yanayokamilishana. Kwa mfano:-
o
 
Mvulana-mtanashati
o
 
Msichana-mrembo
o
 
Usiku-kucha
o
 
Mchana-kutwa nk
MAANA MWANGWI (MAANA AKISI) REFLECTIONAL MEANING
Ni maana inayoibuka katika hali ambapo maana moja hukonyeza maana nyingine. Yaanihumfanya mtu afikirie maana nyingine. Kwa mfanoMaana mwangwi hudhihirika katika matumizi ya tafsida mbalimbali. kwa mfano unajenga pichagani katika sentensi zifuatazo?
o
 
 Tia basi
o
 
Ingiza taratibu
o
 
Hivi utanipa kweli?
o
 
Maliza haraka basiKile kinachokuja akilini mwako mara baada ya kusikia ndicho huitwa maana mwangwi.
MAANA DHAMIRA
Ni maaana ambayo hutegemea kile ambacho mtoa ujumbe anakipa umuhimu. Mara nyingikinachopewa umuhimu hujitokeza mwanzoni mwa sentensi hivyo maana inayojengwa ni ileinayositiriwa ndani ya sentensi. Kwa mfano
o
 
Kikombe kimevunjwa na mtoto
o
 
mtoto amevunja kikombe
o
 
Kuna msichana darasani
o
 
Darasani kuna msichanaKatika mfano wa kwanza msisitizo ni kwa kikombe lakini mfano wa pili msisitizo ni kwamtoto. Vivyo hivyo katika mfano wa tatu msisitizo ni msichana lakini katika mfano wa nnemsisitizo ni kujua kuwa darasani kuna msichana.
Dhana Za Msingi Katika Semantiki
i)
 
Utajoii)
 
Urejeleoiii)
 
Fahiwa
 
6Seni, Daniel John/ An ordained pastor at Shekinah Presbyterian Church (T) Madale-/DSM. Contacthim through +255769080629/+255786684062 or senishekinah@gmail.com6
Dhana hizi tatu ni za muhimu sana katika kujifunza semantiki. Hii inatokana na ukweli kwambamaana
ya neno ‗maana‘ ni tata na uelewekaji wake hutegemea
utajo
 wa neno,
urejeleo
 wa nenona
fahiwa 
 ya neno.
i)
 
Utajo
Dhana hii inarejelea neno ‗taja‘ au ‗kutaja‘. Ni uhusiano uliopo baina ya leksimu/kyambo
(expression) na seti ya vitu ambavyo vinarejelewa na leksimu au kyambo hicho upande mmojauna leksimu kisha upande wa pili kuna seti ya vitu vinavyolejelewa na kyambo hicho.Kwa mfano utajo wa leksimu/kiyambo nyumba ni utajo wa vitu vyote duniani ambavyo vinaitwanyumba. Utajo wa kiyambo mwanafunzi wa chuo kikuu ni utajo wa kundi la watu wote ambaokwa wakati huo wanasoma chuo kikuu. Kwa lugha nyingine utajo ni kwa ujumla.
ii)
 
Urejeleo/reference
Urejeleo kama ulivyo utajo ni uhusiano unaohusisha viambo vya lugha na masilugha/siyo lugha.Urejeleo unatofautiana na na utajo kwa sababu urejeleo ni uhusiano baina ya viambo vya lughana viwakilisho vyake duniani katika muktadha fulani maalum. Urejeleo hubainisha wazi. Kwamfano wanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu cha Dar es salaam.
iii)
 
Fahiwa/Sense
Fahiwa ya leksimu ni seti ya mahusiano yaliyopo kati ya kiyambo hicho na viambo vingine katikalugha. Uhusiano huo huitwa mahusiano ya kifahiwa-yaani uhusiano ndani ya lugha/maneno namaneno ndani ya lugha. Kwa mfano unyume, usawe nk
SEMANTIKI YA KILEKSIA (lexical Semantics) Vikoa vya maana
Msamiati wa lugha si mkusanyiko kiholela wa maneno yasiyohusiana. Wanasemantiki huaminikuwa maneno katika ubongo wa binadamu yamepangwa katika maelfu ya makundi madogomadogo kulingana na yanavyohusiana. Kwa mfano matunda:-kila mtu hufikiria aina mbalimbaliza matunda kwa sababu kikoa matunda kina aina mbalimbali zinazojenga kikoa hiki.Hivyo basi, vikoa vya maana ni makundi madogo madogo ya kidhahania ya msamiati wa lughayaliyomo akilini mwa mwanalugha ambayo ujipangiliaji wake hutegemeana (yaani maneno hayoyanahusiana).Ili kudhihirisha kuwa msamiati wa lugha haupangwi kiholela, mwanafalsafa na mwanaisimu
Ferdinand de Saussure (1916)
 amebainisha aina mbili za maneno kimahusiano:-
1.
 
 Mahusiano ya kiwima (Paragmatic relation)
 
7Seni, Daniel John/ An ordained pastor at Shekinah Presbyterian Church (T) Madale-/DSM. Contacthim through +255769080629/+255786684062 or senishekinah@gmail.com7
Ni mahusiano yanayohusu uwezekano wa neno kubadilishana nafasi na neno lingine bila
kupoteza uelewekaji wake hata kama maana itabadilika. Kwa mfano ‗mwalimu /amenunua/
kitabu/kipya/
‗Mwalimu /amenipa/
kitabu /kipya
Na huwezi kusema ‗kipya kitabu mwalimu amenipa‘ vinginevyo utaharibu mpangilio. Hivyo
chochote kinachoweza kukaa sehemu hiyo maana yake kina uhusiano.
2.
 
 Mahusiano ya Kisilisila (Kisintagmatiki) ( Sintagmatic relation)
Ni uhusiano wa maneno kimfuatano au kwa namna yanavyopangwa au kujitokeza katika tungokwa kuzingatia kanuni za kisarufi katika lugha husika. Kwa mfano: mtoto alikwenda shulenimtoto mdogo alikwenda shuleniyule mtoto mdogo alikwenda shuleni
Vikoa vya maana 
 Ni seti ya msamiati ambayo memba wake wanahusiana kiwima na kisilisila(kimlalo). Kuna aina mbili za mahusiano ya maneno. Visawe vya maana vinahusiana 
Powered by Blogger.