MAANA YA NADHARIA

Maana ya nadharianamaana ya Fasihi.
Nadharia
ni mfumo wa mawazo ya kifalsafa yanayoeleza kuhusu maisha ya mwanadamuna mazingira yake.Wamitila (2003), anaeleza kuwa nadharia ni istilahi inayotumiwa kurejelea kauli au kaida zakijumla zinazotegemezwa kwenye uwazaji fulani.
Fasihi 
ni sanaa ya lugha inayotumia fani mbalimbali kutolea dhamira na maudhuiyanayohusu maisha ya mwanadamu.Wamitila (2003), anasema kuwa fasihi ni kazi za kisanaa au zilizotumia lugha kwa usanii nazinazowasilisha suala fulani pamoja kwa njia inayoathiri, kugusa na kuaha athari fulani katikamaisha ya binadamu.!ulingana na "azrui na #yambo ($%%2), fasihi ni utumiaji wa lugha kisanaa kutubainia utaratibuwa maisha yetu.Wafula na &jogu (200'), wanasema kuwa nadharia ya fasihi ni mwongozo unaomwezeshamsomaji wa kazi ya fasihi kuifahamu kazi ya fasihi katikatika ipengele yake yote.
Nadharia ya fasihi
 
ni mfumo wa mawazo ya kifalsafa ambayo hubainisha maishaya binadamu na mazingira yake.

Powered by Blogger.