KISWAHILI - swali la NECTA FORM IV 2009


Weka nomino zifuatazo katika ngeli za upatanisho wa kisarufi.
i.             Weka nomino zifuatazo katika ngeli za upatanisho wa kisarufi.


JIBU
a.    Kipofu
v  Kipofu yu mgonjwa
v  Vipofu wa wagonjwa
Ngeli ya 1 (yu-a-wa)

b.    Kiboko
v  Kiboko kimevunjika
v  Viboko vimevunjika
Ngeli ya 4 (ki-vi)
c.    Mkono
v  Mkono umevunjika
v  Mikono imevunjika
 Ngeli ya 2 (u-i)
d.    Kalamu
v  Kalamu imevunjika
v  Kalamu zimevunjika
Ngeli ya 6 (u-zi)
Powered by Blogger.