list yote ya Mawaziri ninayo hapa

JK
Home » Siasa » Mabadiliko yamefanywa ndani ya Baraza la Mawaziri TANZANIA Jan 24 2015, list yote ninayo hapa

Mabadiliko yamefanywa ndani ya Baraza la Mawaziri TANZANIA Jan 24 2015, list yote ninayo hapa

JKLeo huenda ikawa moja ya siku ambazo zitaingia kwenye headlines kubwa za siasa TANZANIA 2014/2015 ambapo January 24 2015 mchana kulikuwa na taarifa za kujiuzulu kwa waziri Muhongo aliyekua kwenye Wizara ya nishati na madini.
Kubwa nyingine kwenye upande huohuo ni ishu ya Rais Kikwete kutangaza mabadiliko madogo ndani ya Baraza la Mawaziri ambako kuna waliohamishwa na wapo waliokuwa Manaibu Mawaziri sasa ni Mawaziri, list yote ni hii hapa;
Mawaziri
George Simbachawene – Waziri wa Nishati na Madini
Mary Nagu- Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais- Mahusiano na Uratibu
Christopher Chiza- Waziri Uwezeshaji na Uwekezaji
Harrison Mwakyembe- Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki
William Lukuvi- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi
Steven Wasira- Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika
Samuel Sitta- Waziri wa Uchukuzi
Jenista Muhagama- Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge
Manaibu Waziri
Stephen Masele - Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu Rais- Muungano
Angela Kairuki - Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi
Ummy Mwalimu - Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Anne Kilango - Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Charles Mwaijage - Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Powered by Blogger.